NMB haya makato yenu kwenye mobile app ni makubwa sana na wizi uliovuka mipaka. Ushahidi huu hapa

NMB haya makato yenu kwenye mobile app ni makubwa sana na wizi uliovuka mipaka. Ushahidi huu hapa

Mobile App naitumia:

(1) Kuangalia Salio (Free)
(2) Statement (Mia 5)
(3) Kununua salio la simu (Free)

Vingine nitaenda ATM aisee.
NMB kuangalia salio sio free bwashee..kuna kama 300+ inatokomea pale
 
NMB huu ni wizi mwengine mmebuni, mnawaumiza wateja wenu kwenye makato makubwa. Kwanini haswa?
 
Nilituma mpesa sh elfu 10 wakanikata sh 2350. Mpesa nikatoa elfu 9. Hadi kuipata hiyo elfu 9 Jumla ya makato ni sh 3,350.
 
Kila ubunifu hufanyika kwa lengo la kumnufaisha mmiliki, wewe furahia urahisi wa huduma ila usichoke kulipia.
 
Juzi juzi tu nilijaribu kutoa ka 65 elf makato ni elf 2 mia 7 , kusema ukweli sio haki, hiyo ada tunayokatwa ipo hapo kwa mujibu wa sheria ipi au kanuni gani ?
[emoji116]
IMG_1234.jpg
 
Kila ubunifu hufanyika kwa lengo la kumnufaisha mmiliki, wewe furahia urahisi wa huduma ila usichoke kulipia.

Walau kuwepo na Regulator wa hizi gharama sio kujichotea tu, Tsh ni ngumu kuipata kwa sasa Mheshimiwa
 
Nadhani kadi yangu ishakuwa blocked tayari...labda siku moja nitawarudia
Huta juta wameboresha app pia gharma za viwango vya kutoa ni kama kwenye ATM, ukienda Bankhakuna haja ya kujaza slip unatoa hata 20m kwa njia ya app.
 
Unachotakiwa ni kutoa kiasi kikubwa kadiri inavyowezekana! Kwa mfano CRDB kama sikosei wanakata kitu kinachoitwa storage charge kila unapokwenda kudraw.
 
Unachotakiwa ni kutoa kiasi kikubwa kadiri inavyowezekana! Kwa mfano CRDB kama sikosei wanakata kitu kinachoitwa storage charge kila unapokwenda kudraw.

Mh Raisi Samia aliyaelekeza mabenk yapunguze riba lakin mpaka dakika hii wapo kimy haya mabenk yote ikiwemo crdb na Nmb riba zao ziko juu sana na nmb wana kitu kinaitwa processing fee hii inaumiza sana
 
Back
Top Bottom