NMB kuchaji zaidi ya shilingi 5,000 kwa huduma ya Bank Statement ni sahihi?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Haya mabenki wadau ni tatizo. Yaani nimecheki balance nikakuta hela yangu imefyekwa ikabidi nichukue/nicheki statement fupi kupitia App ya NMB na kukuta nimekatwa shilingi 5, 000 na kitu kama gharama ya Bank statement.

Inasomeka: Bank statement enquiry commission fee

Je, hii ni haki?

Au hata kuangalia Bank statement kupitia App nako wanachaji?

Kama wanachaji, ndio shilingi 5,000 na zaid?

Benki Kuu mko wapi?
 
Haya mabenki wadau ni tatizo. Yaani nimecheki balance nikakuta hela yangu imefyekwa ikabidi nichukue/nicheki statement fupi kupitia App ya NMB na kukuta nimekatwa shilingi 5, 000 na kitu kama gharama ya Bank statement.

Je, hii ni haki?

Au hata kuangalia Bank statement kupitia App nako wanachaji?

Kama wanachaji, ndio shilingi 5,000 na zaid?

Benki Kuu mko wapi?
Mwisho wa Financial Year wakisema wamepata faida Billion 300 ndio ujue zinatoka kwenu wateja
 
Haya mabenki wadau ni tatizo. Yaani nimecheki balance nikakuta hela yangu imefyekwa ikabidi nichukue/nicheki statement fupi kupitia App ya NMB na kukuta nimekatwa shilingi 5, 000 na kitu kama gharama ya Bank statement.

Je, hii ni haki?

Au hata kuangalia Bank statement kupitia App nako wanachaji?

Kama wanachaji, ndio shilingi 5,000 na zaid?

Benki Kuu mko wapi?
Sometimes nadhani hawa Bank Supervision ya BOT na mabenki yana collude kutuibia wateja wao through unjustified bank charges!! Ndio maana mabenki yetu yanapata faida Yao kubwa kutokana na bank charges na Sio lending to customers. It is high time the bank supervision department ya BOT was overhauled because they seem not to be on top of their game!
How do they justify to charge a customer for depositing money which they then lend to their customers and earn interest?
 
Ukiangalia Salio ATM utakatwa, ukiangalia Salio m-pesa,mix by yas etc utakatwa
Ulidhani hiyo mifumo hailipiwi,itaendeshwa vipi?
 
Back
Top Bottom