Nawaza usikute hichi ndo kitu kinafanya hisa zao zinakimbia kwa kasi namna hii. Wako busy kufurahisha wawekezaji tu. Wao na CRDB.Sometimes nadhani hawa Bank Supervision ya BOT na mabenki yana collude kutuibia wateja wao through unjustified bank charges!! Ndio maana mabenki yetu yanapata faida Yao kubwa kutokana na bank charges na Sio lending to customers. It is high time the bank supervision department ya BOT was overhauled because they seem not to be on top of their game!
How do they justify to charge a customer for depositing money which they then lend to their customers and earn interest?
Duniani utakapokuta ATM ndio hapo hapo unapotolea, haijalishi ya nani, hamna makato. Ukirudi kwetu kuna vitufe kwenye app unajiuliza kabla ya kubonyeza. Kila kitu gharama.Benki za Tanzania zinatengeneza faida kupitia wizi unaoitwa makato kwa vile wanafahamu wengi wa watanzania ni wajinga.
Ya kawaida sana hiyo 5k mkuu, Lipa au chagua uweke sendi zako kwenye mchagoHaya mabenki wadau ni tatizo. Yaani nimecheki balance nikakuta hela yangu imefyekwa ikabidi nichukue/nicheki statement fupi kupitia App ya NMB na kukuta nimekatwa shilingi 5, 000 na kitu kama gharama ya Bank statement.
Inasomeka: Bank statement enquiry commission fee
Je, hii ni haki?
Au hata kuangalia Bank statement kupitia App nako wanachaji?
Kama wanachaji, ndio shilingi 5,000 na zaid?
Benki Kuu mko wapi?
Huna pa kuponea ukija "the bank that listens" utapata kiharusi kwa Makato zaidi ya 50 yasiyo na kichwa Wala miguu.Haya mabenki wadau ni tatizo. Yaani nimecheki balance nikakuta hela yangu imefyekwa ikabidi nichukue/nicheki statement fupi kupitia App ya NMB na kukuta nimekatwa shilingi 5, 000 na kitu kama gharama ya Bank statement.
Inasomeka: Bank statement enquiry commission fee
Je, hii ni haki?
Au hata kuangalia Bank statement kupitia App nako wanachaji?
Kama wanachaji, ndio shilingi 5,000 na zaid?
Benki Kuu mko wapi?