Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Nchi kama iko kwenye autopilot!kwa tulipofikia si ajabu maana kila sector ni kujiamulia tu
Nyie ndio mnakatwa bwashee ,mimi situmii pesa natumia gold😅
Ukienda dukani kununua chochote unakatwa kodi, kwahy ww unakatwa bwashee 😂Nyie ndio mnakatwa bwashee ,mimi situmii pesa natumia gold😅
Mwisho wa Financial Year wakisema wamepata faida Billion 300 ndio ujue zinatoka kwenu watejaHaya mabenki wadau ni tatizo. Yaani nimecheki balance nikakuta hela yangu imefyekwa ikabidi nichukue/nicheki statement fupi kupitia App ya NMB na kukuta nimekatwa shilingi 5, 000 na kitu kama gharama ya Bank statement.
Je, hii ni haki?
Au hata kuangalia Bank statement kupitia App nako wanachaji?
Kama wanachaji, ndio shilingi 5,000 na zaid?
Benki Kuu mko wapi?
Sometimes nadhani hawa Bank Supervision ya BOT na mabenki yana collude kutuibia wateja wao through unjustified bank charges!! Ndio maana mabenki yetu yanapata faida Yao kubwa kutokana na bank charges na Sio lending to customers. It is high time the bank supervision department ya BOT was overhauled because they seem not to be on top of their game!Haya mabenki wadau ni tatizo. Yaani nimecheki balance nikakuta hela yangu imefyekwa ikabidi nichukue/nicheki statement fupi kupitia App ya NMB na kukuta nimekatwa shilingi 5, 000 na kitu kama gharama ya Bank statement.
Je, hii ni haki?
Au hata kuangalia Bank statement kupitia App nako wanachaji?
Kama wanachaji, ndio shilingi 5,000 na zaid?
Benki Kuu mko wapi?
Utajuaje nipo kwenye mkataba wa Vienna Convention on Diplomatic Relations🤣🤣🤣Ukienda dukani kununua chochote unakatwa kodi, kwahy ww unakatwa bwashee 😂
Bwashe unakatwa bhana 😂Utajuaje nipo kwenye mkataba wa Vienna Convention on Diplomatic Relations🤣🤣🤣
Mnakatwa nyie bwashee.
Huenda serikali ina mkono wake katika hizi charges za mabenki.Benki za Tanzania zinatengeneza faida kupitia wizi unaoitwa makato kwa vile wanafahamu wengi wa watanzania ni wajinga.
Ukatwe wewe halafu unisingizie mimi hiyo hapana mekuBwashe unakatwa bhana 😂
Msiwape hayo mawazo watayachukua maana Nchi zilizoendelea cash deposits zina gharama kubwa sana kuliko EFT..
Charges zipo miaka na miaka kote dunianiHuenda serikali ina mkono wake katika hizi charges za mabenki.
Mi hata wakinikata senti Tano huwa nakinukisha. Wananijua vyema 😂.