NMB mna shida gani!? Watu tunataka kutoa pesa hampatikani online sio kwa mawakala sio kwenye ATM

NMB mna shida gani!? Watu tunataka kutoa pesa hampatikani online sio kwa mawakala sio kwenye ATM

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
22,152
Reaction score
33,899
Wasalaam

Leo ni siku muhimu watu wanataka kutoa fedha waka-enjoy na familia zao.

Jambo la kusikitisha hampatikani online kwenye kutoa hela kwa mawakala na ATM

Binafsi nilikuwa nawaamini sana sasa nimeanza kuwa na mashaka.
Mnapotea hewani siku ya muhimu kama hii

What a pity?
 
Pole mkuu, pesa zako lakini huna uwezo wakuzipata.CRDB nao pia Huwa haaminiki tare 27 nilitaka kulia ela bank ipo kuichukua nikashindwa, sema Simbanking ikaniokoa ingawa makato nibalaa.
 
Umeingia JF Na simu yako ya TSH laki moja na sabini, malapa na soksi ukiwa sebuleni kwa shemeji yako huku dadaako akichambua maharage kwaajili ya kande la mchana mwaka mpya, huku shemeji yako anapiga boda ili mpate hela ya Nazi ya kuweka kwenye kande la la mchana
Ni kweli charii angu mi nipo hapa kwa shemeji yangu ninakula na kuvaa bure... Sina stress na maisha.... Vp ww BADO upo kwa yule basha wako?
 
Umeingia JF Na simu yako ya TSH laki moja na sabini, malapa na soksi ukiwa sebuleni kwa shemeji yako huku dadaako akichambua maharage kwaajili ya kande la mchana mwaka mpya, huku shemeji yako anapiga boda ili mpate hela ya Nazi ya kuweka kwenye kande la la mchana
Weuhh! 🤣🤣🤣🤣
 
Nilijua ni mimi peke yangu, nimehamisha zaidi ya mara tano kwenda mtandao wa simu mwisho ikakubali lakini mpaka muda huu pesa haijafika kwenye line dah🥹
 
HII KI DIJITALI NI MAENDELEO, ILA INATUPELEKA KULE KWENYE HUTOWEZA KUUZA AMA KUNUNUA KAMA HUNA ILE CHAPA YA 666. PESA NI YAKO NA HUWEZI KUIPATA/KUITUMIA.

nauona unabii unavyokwenda kutimia. I can see!!!!!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Hapo ndio ukute una miadi,yani kila anaekushauri humu utakuta unajibu hovyo,ila wakati mwingine inaweza kuwa ni mpango wa Mungu kukuepusha na jambo baya...
 
Back
Top Bottom