ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
InagomaVutia kwenye m pesa ingawa makato ni zaidi ya ungetoa kwa ATM.
Pumbav ww hunijuiUsikute una insufficient balance unataka kusumbua watu hapa....!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mimi nimesema tujuane mkuu au nimeuliza tuPumbav ww hunijui
Hujui akaunti zangu fala ww tulia
Akaunti yako ni 1 tu,ungekuwa nazo nyingi usingekuja hapa jukwaani na kulalamikaHujui akaunti zangu fala ww tulia
Napo hamna kitu,mi nimehamisha 300k tangu Jana haingiiiVutia kwenye m pesa ingawa makato ni zaidi ya ungetoa kwa ATM.
Bora kuapply diversification theory.Poleee sanaa......
ndo ule msemo,.....don't put all your eggs into on bucket
Ni kweli charii angu mi nipo hapa kwa shemeji yangu ninakula na kuvaa bure... Sina stress na maisha.... Vp ww BADO upo kwa yule basha wako?Umeingia JF Na simu yako ya TSH laki moja na sabini, malapa na soksi ukiwa sebuleni kwa shemeji yako huku dadaako akichambua maharage kwaajili ya kande la mchana mwaka mpya, huku shemeji yako anapiga boda ili mpate hela ya Nazi ya kuweka kwenye kande la la mchana
Weuhh! 🤣🤣🤣🤣Umeingia JF Na simu yako ya TSH laki moja na sabini, malapa na soksi ukiwa sebuleni kwa shemeji yako huku dadaako akichambua maharage kwaajili ya kande la mchana mwaka mpya, huku shemeji yako anapiga boda ili mpate hela ya Nazi ya kuweka kwenye kande la la mchana
Violence violence 😄Ni kweli charii angu mi nipo hapa kwa shemeji yangu ninakula na kuvaa bure... Sina stress na maisha.... Vp ww BADO upo kwa yule basha wako?