monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏50,000
Hii hatari! Riba asilimia mia moja?Ungeuliza riba ndogo kulingana na nani???
Wale pesa x,unachukua 30,000 unarudisha 60,000
Hatari sana,hawa jamaa kama ni faida basi wanapiga hela sanaaa.Hii hatari! Riba asilimia mia moja?
Ni unyonyaji wa hali ya juu sana huuHii hatari! Riba asilimia mia moja?
Kabisa, japo wanaweza wakakuambia usiwalaumu wao laumu shida zako.Ni unyonysji wa hali ya juu sana huu
Mnawatakia nini warahisishe mambo kiasi hicho?Hivi NMB . Mnashindwa nini kufanya "Mshiko Fasta " ifanye kazi kama "Songesha" ama "nipigetafu?
Yaani nyie ni bank kufungua account mnaitaji vitu kibao wakati Voda na Tigo wao wanataka kitambulisho tuu. Lakini bado hamuwaamini wateja wenu na viela vidogo.
Mnakosa fedha
Win win business mkuu!Mnawatakia nini warahisishe mambo kiasi hicho?
😂😂😂Hujui hesabu eti
Riba ni ribaUngeuliza riba ndogo kulingana na nani???
Wale pesa x,unachukua 30,000 unarudisha 60,000
Sikuhiz ukiwa na kitambulisho tu unafungua accountHivi NMB . Mnashindwa nini kufanya "Mshiko Fasta " ifanye kazi kama "Songesha" ama "nipigetafu?
Yaani nyie ni bank kufungua account mnaitaji vitu kibao wakati Voda na Tigo wao wanataka kitambulisho tuu. Lakini bado hamuwaamini wateja wenu na viela vidogo.
Mnakosa fedha
Wafanyakazi wengi ni masikini kwa sababu ya mabenk,Sijajua hata maana leo ndo kwa mara ya kwanza baada ya kunasa haswa nikaone nijaribu huku
Ikumbukwe juzi salary advance tayari nilichukua kiasi kadhaa na ikatiwa chini ya pua yote
Kama umeshindwa kulipa kwenye simu ndo utaweza bankHuduma ya Mshiko fasta bado haileweki hususa kwenye Vigezo na masharti
Mfano ikiwa unadaiwa na Mitandao ya simu bac hata mshiko fasta pia hupati sasa mtu unajiuliza Bank na Mitandao ya simu wapi na wapi?mbona unadaiwa na Voda lakini Tigo,airtel wanakupa mkopo kama kawaida
Jamani nashukuru huku tunapeana ufahamu Wa mambo .Sasa wakituma meseji wanasema hamna riba tena mpaka unaeza kopa laki 5 bila riba yoyote? Mimi nilijua ni sms za kutengeneza za mitandaon kumbe ni janjajanja ya NMB.