NMB "Mshiko Fasta" ilitakiwa ifanye kazi kama Songesha na ''Nipige Tafu" za makampuni ya simu. Mnafeli wapi?

NMB "Mshiko Fasta" ilitakiwa ifanye kazi kama Songesha na ''Nipige Tafu" za makampuni ya simu. Mnafeli wapi?

Mbona me nimeipata sasa

GWX101025485696.Umepokea Mshiko Fasta wa TZS 30,000.00. Gharama yake TZS 2,880.00. Tarehe 18 Oct 2023 11:48:47.Lipa mkopo wako kabla ya tarehe 25 Oct 2023 11:48:47.
Umetumia App au vp mkuu maan mimi nime upload Airtel money app lakini sion mahali pa kukopa maana niliweka namba ya Airtel kufungua NMB account
 
Huduma ya Mshiko fasta bado haileweki hususa kwenye Vigezo na masharti
Mfano ikiwa unadaiwa na Mitandao ya simu bac hata mshiko fasta pia hupati sasa mtu unajiuliza Bank na Mitandao ya simu wapi na wapi?mbona unadaiwa na Voda lakini Tigo,airtel wanakupa mkopo kama kawaida
Nadhani vimeunganishwa!
 
Back
Top Bottom