NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Hiyo sahau ndugu
Mie nina miezi minne,sijaipata nikitaka pesa inabidi niteseke kidogo hadi wilayani kwenye ATM
Hii ni benki ya makanjanja
sema wenyewe wanasema NMb MAstar card ni mbovu kujiunga na NMB MOBILE
 
Naona mnauliza tu bila majibu. Kwa nini msiende hukohuko mana hapa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Hakuna wa kuwajibu wakuu angalieni namna nyingine

Ha ha haa aliyeanzisha uzi itakua kafukuzwa kazi
 
sema wenyewe wanasema NMb MAstar card ni mbovu kujiunga na NMB MOBILE
sio wewe tu ndugu yangu huduma ni mbovu mnoooooo!yaani mie mpaka leo siijui hiyo nmb mobile!kadi yenyewe natumia kwa ATM zao tu!nikisema nitoe bank nyingine inakataaa!ukipiga kituo cha huduma kwa wateja ndio sahau!sijui mwisho sa kumi na mbili jioni tu!shida na kero!yaani naona nisepe zangu mana kwa usawa huu bila mobile na kadi ya kutoa pesa sehemu mmoja nitakwsha!
 
mm soon ntaamia bank nyingine maana kila cku naambiwa network mbovu kumbe mikadi yao ndio mibovu
 
Kuna umuhimu wa kuanzisha Uzi wa kuzungumzia maswala yanayohusu Taasisi za serikali. Maana kuna watu wengi warioajiriwa wanajiona kama miungu watu
 
Mishahara ikiingia kunakua na foleni sana ktk Atm zetu hapa Moshi mjini. Kwa nini mnashindwa kuweka mashine za kutosha? Nilishatumia saa moja na nusu kwenye foleni ya Atm Mandela branch
 
Nmb mobile inatatizo. La fedha kubaki hewani au kufanya pesa iingie mara mbili hamuitoi sa hiyo mnakuja kuitoa miezi kupita. Ni tatizo
 
Nmb mobile inatatizo. La fedha kubaki hewani au kufanya pesa iingie mara mbili hamuitoi sa hiyo mnakuja kuitoa miezi kupita. Ni tatizo
Sasa ivi tatizo ilo vip? Kwa Watumiaji wa nmb bank [emoji542]
 
nyie NMB nyie sina hamu na nyie kabisa nlifungua account chap chap baada ya kuambiwa account ya mwanzo imefungiwa sasa namba yangu simu hamjaifuta toka mwezi wa saba mpaka sasa hivi haijafanyiwa chochote na yale mabarua mlionisumbua kuandika
Ongeleni
 
hakuna cha salamu wala nn, mikadi yenu mibovu inazingua mtu nna mwezi wa pili nafatilia kadi tu, {mlinipa kadi bila password siku mnanipa password haifanyi kazi, siku naisajili imeanza kuzingua na kudai kuwa nimekosea namba ya siri mara nyingi. Nimekwenda kwenye tawi lenu si chini ya mara tano hadi leo hii ATM kadi haifanyi kazi. "MNABOA" Hela zangu mwenyewe nateseka na kadi.
 
Back
Top Bottom