Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
sema wenyewe wanasema NMb MAstar card ni mbovu kujiunga na NMB MOBILEHiyo sahau ndugu
Mie nina miezi minne,sijaipata nikitaka pesa inabidi niteseke kidogo hadi wilayani kwenye ATM
Hii ni benki ya makanjanja
Naona mnauliza tu bila majibu. Kwa nini msiende hukohuko mana hapa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Hakuna wa kuwajibu wakuu angalieni namna nyingine
hata kadi za chap chap mbovu tusema wenyewe wanasema NMb MAstar card ni mbovu kujiunga na NMB MOBILE
sio wewe tu ndugu yangu huduma ni mbovu mnoooooo!yaani mie mpaka leo siijui hiyo nmb mobile!kadi yenyewe natumia kwa ATM zao tu!nikisema nitoe bank nyingine inakataaa!ukipiga kituo cha huduma kwa wateja ndio sahau!sijui mwisho sa kumi na mbili jioni tu!shida na kero!yaani naona nisepe zangu mana kwa usawa huu bila mobile na kadi ya kutoa pesa sehemu mmoja nitakwsha!sema wenyewe wanasema NMb MAstar card ni mbovu kujiunga na NMB MOBILE
mm soon ntaamia bank nyingine maana kila cku naambiwa network mbovu kumbe mikadi yao ndio mibovusio wewe tu ndugu yangu huduma ni mbovu mnoooooo!yaani mie mpaka leo siijui hiyo nmb mobile!kadi yenyewe natumia kwa ATM zao tu!nikisema nitoe bank nyingine inakataaa!ukipiga kituo cha huduma kwa wateja ndio sahau!sijui mwisho sa kumi na mbili jioni tu!shida na kero!yaani naona nisepe zangu mana kwa usawa huu bila mobile na kadi ya kutoa pesa sehemu mmoja nitakwsha!
Shida nchi hii serikali haitoi ulinzi wezi wanazibomoa na kuiba, ndio maana wahindi wanang'ang'ania Kariakoo.nmb na ATM Zisizo pesa
Sasa ivi tatizo ilo vip? Kwa Watumiaji wa nmb bank [emoji542]Nmb mobile inatatizo. La fedha kubaki hewani au kufanya pesa iingie mara mbili hamuitoi sa hiyo mnakuja kuitoa miezi kupita. Ni tatizo
Ongeleninyie NMB nyie sina hamu na nyie kabisa nlifungua account chap chap baada ya kuambiwa account ya mwanzo imefungiwa sasa namba yangu simu hamjaifuta toka mwezi wa saba mpaka sasa hivi haijafanyiwa chochote na yale mabarua mlionisumbua kuandika