Mara nyingi zikisumbua ATM na hizo huduma za mobile na internet banking zinasumbua.Mjiunge na nmb mobile. Nmb ina uduma kibao. Binadamu ni kua na altenative kila wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu hata hiyo mobile inakataaMjiunge na nmb mobile. Nmb ina uduma kibao. Binadamu ni kua na altenative kila wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo inasemekana lipo NMB makao makuu kwa mastercard zote kutokufanya kaziHiyo mastercard nadhani inauwezo wa kuchukua fedha kwenye bank yoyote ile. Kwa nini msiende kwenye ATM za benk zingine kama CRDB, NBC, nk mkachukua hela kwa kutumia hiyo card ya NMB? Ndio maana inaitwa Mastercard wakimaanisha inaingia kwenye bank yoyote ile iwe hapa nchini au nchi za nje. Nenda sasa hivi kajaribu, it works!
Mjiunge na nmb mobile. Nmb ina uduma kibao. Binadamu ni kua na altenative kila wakati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bosi tatizo gharama zisizo za razima ktk miamara maana kutoka 600/- hadi taklibani 3500/ ni palefu ususan kwa sisi ambao tunafanya miamala mara kwa mara.Hiyo mastercard nadhani inauwezo wa kuchukua fedha kwenye bank yoyote ile. Kwa nini msiende kwenye ATM za benk zingine kama CRDB, NBC, nk mkachukua hela kwa kutumia hiyo card ya NMB? Ndio maana inaitwa Mastercard wakimaanisha inaingia kwenye bank yoyote ile iwe hapa nchini au nchi za nje. Nenda sasa hivi kajaribu, it works!
Pimbi huna hela ww[emoji13] [emoji13] [emoji90]Ndiomaana minilisha amuwa kuwa naweka hela zangu ndani tu