NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Kuna mtumishi jirani yangu hapa anaomba kujua kama mnatoa Salary advance. Kasema mshahara wake unapitia kwenu.
 
ATM za Ubungo plaza ni kimeo mwaka nenda mwaka rudi na hamzifanyii marekebisho!
 
Nmb mnatoa huduma za upendeleo has a mikoani, utakta boss flank katoka ofsni anajuana na wahudumu wa nmb anavnja foleni ,anahdumiwa moja kwa moja hku wateja wengne wakiwa bdo foleni,hii inakera na nafkria kuhama benki
 
NMB siku hizi sijui wamekuwaje. wana uhusiano gani Shirika la bima la taifa [NIC]? wanaingiza makato ya NIC kwenye akauti za watu badala ya kuanzia kwa mwajiri
 
NMB ondoeni makato yote ya mashirika ya kifedha zinazofanyika kwenye akaunti za watu badala yake wawaelekezeni kwa waajiri. msijichukulie sheria mkononi.
 
Naomba kufahamu suala la mikopo Kwa TPDF imefikia wapi baada ya kusitishwa!?
Asanteni.
 
NMB namba yenu ya Huduma kwa wateja haipokelewi,nimepiga hiyo simu# 080000202 mpaka vidole vinauma,Huduma gani hizo?
 
Mbona mashine zenu za kutolea pesa hamweki noti zingine zaidi ya noti za elfu kumi hapa Moshi mjini??
 
Kilio changu ni kwamba nimesajili card yangu kununua bidhaa online lakini wakati wa kununua sipati one-time password message!....Je nifanyeje??
 
Nmb mmefungua thread afu mmepotea Wala hamjibu kero za watu, aliyebuni wazo la kuwa na special thread alikua vizuri ila tatizo hakuna mfatiliaji, watu wanaandika kero na maswali hata hamjibu
 
Nataka kubaldilisha kadi ya chap chap kuwa Master card nifanyeje, au kuna utaratibu gani ili nifuate
 
Hon
nyie NMB nyie sina hamu na nyie kabisa nlifungua account chap chap baada ya kuambiwa account ya mwanzo imefungiwa sasa namba yangu simu hamjaifuta toka mwezi wa saba mpaka sasa hivi nimechoka kufuatilia
 
Nimepoteza kadi yangu, naomba utaratibu wa kupata nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…