Nmb kwanini Kufungua account ya kikundi ni mzunguko sana? yaani hadi unawezakukata tamaa, nikipiga hesabu nauli tu inakaribia hela ya kufungulia, nenda rudi ni nyingi hadi tunachoka.
NMB kufungua account ni rahisi kupata kadi ni miezi kwanini wakati benki nyingine ni fasta tu.
Nimeibiwa ya kwangu huo mlolongo wenu unakatosha tamaa ingawa kwenye mobole banking mko vizuri.
Ndugu nisaidie kujua vigezo na documents zipi znahitajika kufungua account na kiingilio ni kiasi gani cha kuanzia?
gharama zao zikoje kwani (riba zao na Dhamana) ikoje hii maana wengine hatuna nyumba wala viwanja ila tunaofisi tu.Karibu Bay port uchukue mkopo fast mkuu
MSAADA NMB
NAHITAJI KUFUNGUA ACCOUNT YA NMB
Chap chap account
Je ninahitajika kua na vigezo gani wakati wa kufungua, niwe na nini na nini vitavyoniwezesha kufungua?
Na mimi niko pugu, je office gani iliyopo karibu na mimi ya NMB ambayo naweza kwenda?
Naomba vigezo na masharit ya kupata mkopo wa tsh 200,000 na 5,000,000Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.
Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.
Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
Huu ni wizi WA wazi,Personal loan
Mkopo 10,800,000 Tshs.
Processing fee+ Insurance fee= 729,000 Tshs.Je,hii 729,000Tshs. ni gharama halisi au nimeibiwa?!
Pia naomba kufahamishwa kuhusu percentage ya processing fee na Insurance fee.
Asante.
Huu ni wizi WA wazi,
Umeomba milioni kumi na laki name,wanakata 729000 sasa hizo zilizobaki ndo ulizoomba?
Hapo nmb mnnatuibia na kutudhulumu wateja kwa sababu ya umaskini wetu na shida zetu,hiyo sio haki,kama mnapita humu na kusoma mjue mnnalofanya no dhambi kubwa.
Dawa ni kutokukopa tu
1. Nenda ATM yeyote ya NMB, chomeka kadi yakonaomba kujua jinsi ya kubadili namba ya simu ninayotumia kwenye nmb mobile na kuweka namba nyingine tofauti na ya awali ninayotumia
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom