App yenu ya nmb mkononi Ina shida , huwezi kuitumia bila simcard , app inatakiwa ikusaudie kwenye mazingira ya internet , labda umesafiri nje ya nchi au nje ya network yako then ukipata connection yoyote unafanya muamala. Hii app yenu kila uki log in unataka sms verification kwa laini uliyosajilia , iki confirm ndo unaweza kufanya muamala , maana yake ni kuwa ukiwa nje ya network ya simcard uliyosajilia huwezi kupata huduma za nmb mkononi .
Wenzenu crdb app yao simcard inatumika wakati wa ku register tu , ukishamaliza kujisajili app inakuwa huru kutumia connection yoyote iliyopo bil hata kujali Kama simcard husika ipo hewani, popote utakwapokwenda ukipata net hata ya wifi , unafanya miamala
Kwa maana halisi app ya nmb mkononi huwezi kutumia ukiwa nje ya nchi