mchezo mbaya
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 242
- 235
Ninaunga mkono hoja.Ni wakati muafaka kwa NMB au benki zote kuhuisha viwango vya riba katika Amana na mikopo.Bank of Tanzania,wathibiti viwango vya ribaNi lini mtashusha Riba Za mikopo kama walivyofanya CRdB?
Wafuate whatsaap no 0747 333 444NMB, Naomba mnipe ufafanuzi kuhusu huduma yenu nzuri ya salary advance. Mimi ni mtumiaji mkubwa wa hii huduma na nikiri kuwa inanisaidia. Lakini tatizo ni kwamba ndani ya hii miezi mitatu naona kuna mabadiliko hasi kwangu, yaani mmenipunguzia kiwango wakati mshahara wangu umeongezeka kutoka 955,000/= hadi 1,255,000/= kwa mwezi. Hapo awali mlikuwa mnanipa mpaka 200,000/= lkn sasa imepungua hadi 165,000/= . Naomba kujua tatizo ni nini?
ThanxWafuate whatsaap no 0747 333 444
Ni lini mtashusha Riba Za mikopo kama walivyofanya CRdB?
13Wana % ngapi crdb Sasa hivi?
miaka minane unaweza kukopa sawa na miezi 96-CRDB riba ya mikopo ni 13% kwa mwaka na kwa watumishi wanaruhusiwa kukopa,na wakalipa kwa miaka tano au sita hivi.
-NMB wao bado wanatoza riba ya 16% kwa mwaka.
-Wajasilia mali wengi,wanakimbilia CRDB,
-NMB inabidi wajitafakari au Benki kuu,iwe inatoa miongozo na kufanya udhibiti wa riba za mikopo
Wasipunguze ili twende crdb,ukiwaambia wapunguze wataona unawababaikia au unajibebisha kwaoNMB punguzeni riba zenu kubwa sanaaa.....igeni wenzenu wa CRDB