Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuMsi-"liplace"!Mjitahidi ku-replace! Ndiyo maana mnachelewa.
Kwanini suala la bima ni ngumu sana kupata haki yakoNdugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.
Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.
Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
Hazina wameongezeka muda wa mkopo kwa wastaafu hadi miaka nane. Kwa nini mnachelewa kuongea na taasisi nyingine kama PSSSF na NSSF nao waongeze muda wa kukopesha hadi miaka nane kama walivyofanya Hazina kwa wastaafu wao.Bora nyie mnaotokea hapa jukwaani kwa ajili ya kukidhi kiu ya maswali na ushauri kwa wateja wenu
Maana wenzenu NBC wako hoi kitandani na hawana hata habari juu ya yale yanayoandikwa kwenye mitandao juu ya benki yao
Hongereni sana kitengo cha mawasiliano kwa umma NMB kwa mrejesho huu mnautupatia, Hakika nyinyi ni wadau wa kweli katika maendeleo ya taifa hili
Natamani taasisi zote zikaiga mfano huu
HEKO NMB HEKO TANZANI
Haya mambo kukatwa hela bila taarifa ni upumbavu na ujingaNMB,hii siyo sawa kwa sisi wastasfu wenye mkopo..nilichukua mkopo wa Benki kwa mkataba wa kukatwa kila mwezi pensheni inapoingia.ajabu tarehe 18 mwezi huu nimeingiziwa fedha toka mahali ikskatwa ilhali nilikuwa safari nikiitegemea kwa nauli.
Benki NMB,tawi Kaitaba
Account 32608000725
Mkuu me nakumbuka mwanzo walikuwa hawanikati ila baada ya miezi mitatu walianza kunikataAcheni wizi,mnasema Chap Chap account haina makato,kumbe inayo balaa! Wezi wakubwa kabisa nyie watu