Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuona Benki isiyo na wafanyikazi kama hawa. kila tawi ikiwa una nafasi ya kuingia kwenye laini. Ongeza wafanyikazi kuacha kuwa karibu au wateja wataendelea kukimbia kila siku.NMB ni wahudumu wenye ukarimu na uweredi katja utotuzi wa msaada kwa client wake..wamenisaidia sanaa..nilienda CRdB bank wamenizungusha sana mara kalete affidavit as to names mara barua ya mtendaji mara cheti chakuzaliwa...wanaboa sanaa..alafu at the end of the day. . Wanakuja kuniambia tunataka kuifunga account yako et ilifunguliwa kimakosa...yaan bila kujali nimepoteza muda na fedha zangu kiasi gani..so sad.. chatiw cps test camzap
Uku kwetu nmb mobile haipatikan tatizo nin tangu asubuh
Naomba kufaham,mikopo ina katwa kwa mda gani,mshahara au posho inapoingia kwenye account ya mtejaPongezi nyingi kwenu NMB huduma yenu ni nzuri na inapatikana karibia mikoa yote Tanznia.viwango vyenu vya kufungua akaunti vinampa nafasi mtu yeyote kufungua. Nawapongeza sana.
Kuna Mambo machache ninayoomba yafanyiwe marekebisho:
1. Idara ya mikopo
Wawepo watu wanaoelewa vizuri sera ya kampuni ya mikopo.mtu anapotaka taarifa za kumsaidia ama akope au asikope apewe taarifa sahihi kuepusha kuonana wabaya mbeleni.
2. Kipindi cha pick hours ni vyema angalau kaunta tatu ziwe operational.
3. Tunapokuja benki tunatazamia kupata pesa nzima,sio noti za kwenda kurepair au kuuza kwa wanunua pesa mbovu.zamani,fedha ya benki ilikuwa mpya na inanikia,za siku hizi mmmmmh [emoji1787][emoji6]
Mkuu, NMB ni shida, mdogo wangu leo katumiwa hela airtel money.akaona isiwe kesi maana makato yatakuwa makubwa kuitoa airtel. Akaituma kwenye akaunti yake ya NMB ili atoe kirahisi pesa zote alizokuwa nazo kama akiba benki.Nmb tokea jumamosi nimetoa hela kwa njia ya pesa festa .ATM mashine ikagoma kutoa pesa Ila nikatumia sms kuwa nimetoa pesa na kuangalia salio nikakuta salio halipo. Nimeongea na makao makuu kila siku wananirusha Mara masaa72 . Yameisha pesa bado haujarudishwa. Nawapigia wanasema eti nisubir Tena masaa72. Sasa nataka niwapeleke mahakamani. Maana wamenisababishia matatizo mengi Sana ya kifamilia
sielewi kuna tatizo gani tangu juzi jioni najaribu hata kutumia nmb mobile haifanyi kazi na niko mbali na na zilipo ATMMkuu, NMB ni shida, mdogo wangu leo katumiwa hela airtel money.akaona isiwe kesi maana makato yatakuwa makubwa kuitoa airtel. Akaituma kwenye akaunti yake ya NMB ili atoe kirahisi pesa zote alizokuwa nazo kama akiba benki. Cha ajabu anasema mtandao umegoma leo huko dodoma. Alikuwa ndo anategemea apate nauli ya kurudia chuo akajiandae na likizo. Yani amehangaika sana. Hawa jamaa sijui wapoje tu. Akaunti zao chenga sana kama hiyo CHAP CHAP.