NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Hivi inachukua muda gani kupata kadi baada ya kufungua akaunti ya kikundi?.
 
Habari NMB.
Nna swali kuhusiana na cheque ilioletwa hapo kwenu kwa ajiri ya transaction yoyote na ikawa processed tayari, je uchukua muda gani mpaka kuwa destroyed ile physical cheque?

Maana kuna cheque ya miezi 6 iliopita nilitaka wanitafutie branch ilikopelekwa kuna details niangalie na transaction yake ilifanyika ila sikuidhinisha mimi,kuna mtu alifoji saini nahisi.
Asante
 
Sina Maneno mengine zaidi ya kuwapongeza NMB kwa kutujali kuhitaji maoni yetu sisi wateja wenu. Hongereni Sana NMB.
 
NMB ni wahudumu wenye ukarimu na uweredi katja utotuzi wa msaada kwa client wake..wamenisaidia sanaa..nilienda CRdB bank wamenizungusha sana mara kalete affidavit as to names mara barua ya mtendaji mara cheti chakuzaliwa...wanaboa sanaa..alafu at the end of the day. . Wanakuja kuniambia tunataka kuifunga account yako et ilifunguliwa kimakosa...yaan bila kujali nimepoteza muda na fedha zangu kiasi gani..so sad.. chatiw cps test camzap
Sijawahi kuona Benki isiyo na wafanyikazi kama hawa. kila tawi ikiwa una nafasi ya kuingia kwenye laini. Ongeza wafanyikazi kuacha kuwa karibu au wateja wataendelea kukimbia kila siku.
 
Pongezi nyingi kwenu NMB huduma yenu ni nzuri na inapatikana karibia mikoa yote Tanznia.viwango vyenu vya kufungua akaunti vinampa nafasi mtu yeyote kufungua. Nawapongeza sana.
Kuna Mambo machache ninayoomba yafanyiwe marekebisho:

1. Idara ya mikopo
Wawepo watu wanaoelewa vizuri sera ya kampuni ya mikopo.mtu anapotaka taarifa za kumsaidia ama akope au asikope apewe taarifa sahihi kuepusha kuonana wabaya mbeleni.

2. Kipindi cha pick hours ni vyema angalau kaunta tatu ziwe operational.

3. Tunapokuja benki tunatazamia kupata pesa nzima,sio noti za kwenda kurepair au kuuza kwa wanunua pesa mbovu.zamani,fedha ya benki ilikuwa mpya na inanikia,za siku hizi mmmmmh 🤣😉
 
Pongezi nyingi kwenu NMB huduma yenu ni nzuri na inapatikana karibia mikoa yote Tanznia.viwango vyenu vya kufungua akaunti vinampa nafasi mtu yeyote kufungua. Nawapongeza sana.
Kuna Mambo machache ninayoomba yafanyiwe marekebisho:
1. Idara ya mikopo
Wawepo watu wanaoelewa vizuri sera ya kampuni ya mikopo.mtu anapotaka taarifa za kumsaidia ama akope au asikope apewe taarifa sahihi kuepusha kuonana wabaya mbeleni.
2. Kipindi cha pick hours ni vyema angalau kaunta tatu ziwe operational.
3. Tunapokuja benki tunatazamia kupata pesa nzima,sio noti za kwenda kurepair au kuuza kwa wanunua pesa mbovu.zamani,fedha ya benki ilikuwa mpya na inanikia,za siku hizi mmmmmh [emoji1787][emoji6]
Naomba kufaham,mikopo ina katwa kwa mda gani,mshahara au posho inapoingia kwenye account ya mteja
 
nimenunua umeme kupitia nmb mobile tangu jana hamjatuma tokens..
 
Kuna wizi umetokea kwenye akaunti ya mdogo wangu,ameibiwa pesa kupitia mastercard,na pesa imeonekana imetolewa sehemu fulani!kwanini taratibu za kuirudisha ichukue siku 21?mbona wenzenu nbc huwa ni siku 7?hamuwaonei huruma wateja wenu?wengine ni pesa za matibabu so adi siku 21 zifike uhai utakuepo kweli?NMB hapo mnafeli sana!
 
Nmb tabu nyingi zipo kwenye bima zenu.yaani wakati mteja anakopa mnakata pesa za bima akipata matizo kwenye biashara mnajitenga anabaki peke yake kana kwamba hamjui bima yeke .wateja wengi ni kalio ,rekebisheni mfumo wa bima uwe rafiki kwa mteja
 
Vp kwa wafanya kazi wenye mikataba kwenye taasisi za umma hawaruhisiwi kuchukua salary advance
 
NMB naomba mbadili staff wenu, wengi wazee. Hawaendani na speed ya wateja. Pale Buzuraga branch 95% ya staff wazee, hawajui hata kuelezea sifa ya products zenu. Nilienda na kadi ya prepaid mpaka nilishaacha kuitumia. Kwanza hawaijui as if mimi ndio niliileta.

Nikawauliza kama hawana taarifa kuhusu hiyo product wakaanza kurushiana mpira. Mwisho wakanambia nimsubiri manager customer service ambaye hakuwepo wakati huo.

Yaani buzuruga branch kama nyumba ya wazee. Wawekeni back office hao wawe wanahesabu hela jioni
 
Nmb tokea jumamosi nimetoa hela kwa njia ya pesa festa .ATM mashine ikagoma kutoa pesa Ila nikatumia sms kuwa nimetoa pesa na kuangalia salio nikakuta salio halipo.

Nimeongea na makao makuu kila siku wananirusha Mara masaa72 . Yameisha pesa bado haujarudishwa. Nawapigia wanasema eti nisubir Tena masaa72. Sasa nataka niwapeleke mahakamani.

Maana wamenisababishia matatizo mengi Sana ya kifamilia
 
Nmb tokea jumamosi nimetoa hela kwa njia ya pesa festa .ATM mashine ikagoma kutoa pesa Ila nikatumia sms kuwa nimetoa pesa na kuangalia salio nikakuta salio halipo. Nimeongea na makao makuu kila siku wananirusha Mara masaa72 . Yameisha pesa bado haujarudishwa. Nawapigia wanasema eti nisubir Tena masaa72. Sasa nataka niwapeleke mahakamani. Maana wamenisababishia matatizo mengi Sana ya kifamilia
Mkuu, NMB ni shida, mdogo wangu leo katumiwa hela airtel money.akaona isiwe kesi maana makato yatakuwa makubwa kuitoa airtel. Akaituma kwenye akaunti yake ya NMB ili atoe kirahisi pesa zote alizokuwa nazo kama akiba benki.

Cha ajabu anasema mtandao umegoma leo huko dodoma. Alikuwa ndo anategemea apate nauli ya kurudia chuo akajiandae na likizo. Yani amehangaika sana. Hawa jamaa sijui wapoje tu. Akaunti zao chenga sana kama hiyo CHAP CHAP.
 
Mkuu, NMB ni shida, mdogo wangu leo katumiwa hela airtel money.akaona isiwe kesi maana makato yatakuwa makubwa kuitoa airtel. Akaituma kwenye akaunti yake ya NMB ili atoe kirahisi pesa zote alizokuwa nazo kama akiba benki. Cha ajabu anasema mtandao umegoma leo huko dodoma. Alikuwa ndo anategemea apate nauli ya kurudia chuo akajiandae na likizo. Yani amehangaika sana. Hawa jamaa sijui wapoje tu. Akaunti zao chenga sana kama hiyo CHAP CHAP.
sielewi kuna tatizo gani tangu juzi jioni najaribu hata kutumia nmb mobile haifanyi kazi na niko mbali na na zilipo ATM
 
Kwanini mmekuwa na mazoea ya kutokaa ofisini yaani mtu anakuja zaidi ya siku 2 na hakuti mhudumu hasa upande wa mikopo branch ya manyoni singida...mnakwaza sana
 
Back
Top Bottom