Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,668
- 3,751
Vodacom ndio mfumo wao unachelewesha kumpatia mteja hela.Tigo hawacheleweshi maramoja muamala unasoma kama tigo wana tatizo ila kwenyehela ni zaidi ya haraka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watakurudishia ila ndio hivyo tena ile charging hawatakurudishia. umekatwa wanachotaka na wanakurudishia salio lililokatwa. ndio ujinga walio nao. nilishawahi kusubiri hadi siku tatu ila wanarudisha na watakuletea msg kuwa muamala wako ulishindikana na wanakurudishia hela yako. sijui kama inakuwa automatic au kuna mtu anashughulikia hiyo mahsusi.Yaani kila ikifika weekend au sikukuu ukilogwa itoe fedha kwenye account yako ya nmb kwenda m pesa ni ku risk. Hii ni mara ya tano tangu nianze kutumia huduma hii halafu inagoma. Mbaya zaidi hela inaonyesha kutoka kwenye account yako lakini m pesa haijafika na wala hakuna msg yoyote ya either kuna kasoro au laaa!!
Nimepiga namba yao ya 0800002002 majibu ninayopata tangu asubuhi ni haya. " Simu yako ni muhimu sana, endelea kusubiri muda mfupi" .
Kwahiyo tangu asubuhi naendelea kusubiri muda mfupi.
Najua lengo lao wasikuhudumie hadi sikuku zipite then ndio wakuambie nenda Tawi la nmb la karibu utasaidiwa.
Yaani sikukuu nitaila kiugumu sababu ya hii bank.
Waziri wa Fedha najua kauli yako tu ina nguvu yakuzuia kasoro hivi zisirudiwe tena. Au wafanye kama TANESCO wanavyofanya kuutangazia uma kama system yao ya Luku itasumbua hivyo wateja wanachukua tahadhari
This is a rubbish bank ever.
Mkuu unalipwa na tigo??Tatizo halipo NMB bali Mpesa, usijaribu kutuma pesa kupitia Mpesa ni wasumbufu sana, sio NMB mobile tu hata Sim banking kwa mpesa ni shida. Yaani hata ukinunua Luku kwa Mpesa ni usumbufu tu. Hebu jaribu kutoa kupitia tigo pesa ni fasta kama haiwezekani muamala haufanyiki. Lakini Mpesa kama unalipia luku au king'amuzi wanakata pesa afu wanakaa kimya pumabavu Mpesa.
Namm yamenikuta.. Hyo namba haipatikaniYaani kila ikifika weekend au sikukuu ukilogwa itoe fedha kwenye account yako ya NMB kwenda M-Pesa ni ku risk. Hii ni mara ya tano tangu nianze kutumia huduma hii halafu inagoma.
Mbaya zaidi hela inaonyesha kutoka kwenye account yako lakini m pesa haijafika na wala hakuna msg yoyote ya either kuna kasoro au laaa!! Nimepiga namba yao ya 0800002002 majibu ninayopata tangu asubuhi ni haya. " Simu yako ni muhimu sana, endelea kusubiri muda mfupi" .
Kwahiyo tangu asubuhi naendelea kusubiri muda mfupi.
Najua lengo lao wasikuhudumie hadi sikuku zipite then ndio wakuambie nenda Tawi la NMB la karibu utasaidiwa.
Yaani sikukuu nitaila kiugumu sababu ya hii bank.
Waziri wa Fedha najua kauli yako tu ina nguvu yakuzuia kasoro hivi zisirudiwe tena. Au wafanye kama TANESCO wanavyofanya kuutangazia uma kama system yao ya LUKU itasumbua hivyo wateja wanachukua tahadhari.
This is a rubbish bank ever.
mkuu unalipwa na crdb?.Mkuu unalipwa na tigo??
M Pesa wako vizuri tuu shida ni bank. Hamia CRDB.
NMB hamna mfumo mzuri na salama wa kuchukua fedha kutoka kwenye mashine zenu za ATM, hii imepelekea kuwasababishia hasara ya kupoteza fedha baadhi ya wateja wenu mmoja kati yao nikiwa mimi mwenyewe nilie poteza fedha kiasi cha shilingi laki mbili kutokana na matatizo ya kiufundi mashine zenu