NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

CRDB Bank wameshusha riba ya kwenye mikopo ya wafanyakazi na Wastaafu wanaopitishia pensheni yao CRDB Bank.

Ninashauri NMB Bank nao wafanye mapitio ya riba ya kwenye mikopo ya wafanyakazi na watumishi waliostaafu,ili kuvutia na kutoa nafuu kwa wakopaji.
 
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.

Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.

Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1.
Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
Nmb huduma zenu nazikubali ila iangalieni hii Nmb Mzambarauni hapa Gongolamboto wateja ni wengi sana eneo ni finyu na huduma hazitolewi kwa viwango Kuna kusua sua hivi fanyeni marekebisho kidogo vinginevyo kwa ujumla mko vizuri
 
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.

Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.

Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1.
Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
NMB Tanzania hivi kwa mfano ninahitaji staff wenu kuja walipo kuwafungulia account ya bank wazee ambao hawana uwezo wa kujongea hadi bank si inawezekana?
Maana nilishawahi kufwatwa dukani kwangu na staff wenu na wakaweza kunisajili.
Msaada tafadhali.
 
SALARY ADVANCE YASITISHWA RASMI
Salary advance jhuduma iliyokuwa inatolewa na nmb imesitishwa , hii imetokea mwezi huu June 2022.
Bado tatizo halijajulikana.
Nmb tunaomba ufafanuzi
 
NMB inwadidimiza kiuchumi watumishi wa umma.
ni Benki iliyo pata ukwasi kupitia watumishi lkn imeshindwa kuwakwamua badala yake imeendeleea kuwadidimza kwa kuwawekea riba kubwa na masharti ya bima kubwa ambayo inawanyonya.

Mamlaka zinazo husika zichunguze mikopo inayo tolewa na NMB haswa kwa watumishi wa umma, ni mikopo inayo wanyonya na kuwakandamiza zaidi.
 
Hakika umenena. Mtumishi anakopa million 19 Kwa miaka 6 anapewa 17.6 then malipo yake ni 29.6 million. Hakika ni unyonyaji
 
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.

Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.

Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1.
Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
Tulikuwa tunapata huduma bure kwenye airtel kwakupitia MOBILE BANK lakini sahiz et tuweke vocha kweli jaman
 
Naomba kuuliza, hivi huwa inachukua muda gani tangu kuomba mkopo Mpaka kupata Kwa mtumishi wa umma?
 
Mie napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa NMB KAHAMA Business centre kwa huduma bora nilizozipata pale walinipa msaada mkubwa sana @ Pendo and her team 👊🤝👍🏽
 
Tulikuwa tunapata huduma bure kwenye airtel kwakupitia MOBILE BANK lakini sahiz et tuweke vocha kweli jaman
Jambo hili limeleta kero kubwa.
Mtu unataka kununua salio la simu au kununua umeme lakini unatakiwa kuweka salio kwanza.
Una pesa kwenye akaunti lakini unalazimishwa utembee kwenda dukani kununua vocha y kukwangua ya sh.500/=.
Huku ni kuturejesha kwenye analogi.
 
NMB inwadidimiza kiuchumi watumishi wa umma.
ni Benki iliyo pata ukwasi kupitia watumishi lkn imeshindwa kuwakwamua badala yake imeendeleea kuwadidimza kwa kuwawekea riba kubwa na masharti ya bima kubwa ambayo inawanyonya.

Mamlaka zinazo husika zichunguze mikopo inayo tolewa na NMB haswa kwa watumishi wa umma, ni mikopo inayo wanyonya na kuwakandamiza zaidi.
SAHIHI.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
NMB inwadidimiza kiuchumi watumishi wa umma.
ni Benki iliyo pata ukwasi kupitia watumishi lkn imeshindwa kuwakwamua badala yake imeendeleea kuwadidimza kwa kuwawekea riba kubwa na masharti ya bima kubwa ambayo inawanyonya.

Mamlaka zinazo husika zichunguze mikopo inayo tolewa na NMB haswa kwa watumishi wa umma, ni mikopo inayo wanyonya na kuwakandamiza zaidi.
Serikali yako Tu imekuongezea mshahara 20,000 lawama uzipeleke nmb

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hivi mnapataje uhalali wa kukata makato ya pesa yangu ikiwa sijafanya muamala wowote, ukichukua bank statement unakuta 54 tsh, 115 tsh inakatwa bila kutoa pesa, acheni ubabaishaji
 
Back
Top Bottom