Hiyo ni ada ya risiti au stetement,sijakuelewa vizuri,unaombaje risiti kwenye ATM wakati ukitoa hela risiti huwa inatoka automatic hela zikisha toka...!
Ada yake kwa mujibu wa hela aliyotoa ni 1400.Hiyo ni ada ya risiti au stetement,sijakuelewa vizuri,unaombaje risiti kwenye ATM wakati ukitoa hela risiti huwa inatoka automatic hela zikisha toka...!
Huu ni uzushi tu, au ugeni wa huduma za kibenki…. wewe ni wa kupuuzwa tu
kajaribu na wewe ili ujiridhisheKuna option ikiwa unataka risiti au la, lakini hiyo 10,000/- sio kweli…. hata statement sidhani kama inafika huko.
Hivi nani aliletaga huu uongo kwamba ukiomba risiti kuna gharama???
Gharama ni moja tu ya kutumia ATM basi unakatwa kila unapotumia na haizidi sh 2000 labda kama utumie huduma zile za MasterCard/Visa
Hii ya elfu kumi sijawahi kuisikia na siamini mpaka nitakapothibitishiwa
sio bank statement ni risiti unayokubali kupewa pale unapotoa fedha kwenye mashineHiyo ni ada ya risiti au stetement,sijakuelewa vizuri,unaombaje risiti kwenye ATM wakati ukitoa hela risiti huwa inatoka automatic hela zikisha toka...!
yap uko sahihi, huyu mdau ameleta chenga, risiti inatoka yenyewe na hakuna mahala pa kukataa risiti.Hiyo ni ada ya risiti au stetement,sijakuelewa vizuri,unaombaje risiti kwenye ATM wakati ukitoa hela risiti huwa inatoka automatic hela zikisha toka...!
Ukiomba risiti kuna pesa unakatwa lakini ni ndogo sana tofauti na madai ya mleta mada! CRDB kwa mfano, wao wanakata Sh. 300/=.Mkuu, hebu fafanua kidogo hapo…. mimi pia ni mmoja wa wanaoamini ukiomba risiti kuna some extra charges.
Sasa Equity Bank utaikuta Kakonko? Nyie wa mijini ndio angalau mnapata hizo faida za kuwa na mabenki anwai.Kwa mtu ulie mji mkubwa wenye bank nyingi..
Kutumia crdb na nmb ni ujinga.. maana wana makato ya ajabu mengi sana.. benki sahihi ni equity bank ama bank zingine za kigeni
Wakala anashika namba mojaHivi gharama zipoje kwa
Anayetoa ndani kwa Bank teller?
Anayetoa kwenye ATM
anayetoa kwa wakala
Anayeivuta kwenye simu kutoka Bank
Hakuna gharama ya risiti mkuu. Gharama ni ya kutumia ATM tu. Ukishaingiza kadi ukachora PIN yako hata ukitoa bila kufanya chochote unakatwa. Ila huduma zote unazofanya ndani ya huo mchomeko ziko covered hapo. Unless uwe unahamisha fedha au huduma zingine. Hakuna makato ya risiti kwa uzoefu wangu wa benki hizi Azania,Exim,Equity,NMB,CRDBMkuu, hebu fafanua kidogo hapo…. mimi pia ni mmoja wa wanaoamini ukiomba risiti kuna some extra charges.
Wakala anashika namba moja
Ndani namba mbili
Atm ndio nafuu zaidi
Sio kweli nduguHiyo ni ada ya risiti au stetement,sijakuelewa vizuri,unaombaje risiti kwenye ATM wakati ukitoa hela risiti huwa inatoka automatic hela zikisha toka...!
Siamini!! Nadhani una matatizo ya macho! Vile vikaratasi, kama charge yake ni Sh.100, itaandikwa 100.00, sasa hiyo nukta inakuwaga ngumu sana kuiona!
Acha ubish risit unaweza kuomba au kukataa na mashine zingine Kuna muda huwa hazina risit kabisa ukiomba wanakwambia ATM haina risit kote NMB Na CRDByap uko sahihi, huyu mdau ameleta chenga, risiti inatoka yenyewe na hakuna mahala pa kukataa risiti.
inatakiwa ajieleze vizuri sana au tuombe MODS wampige BAN ya nguvu kwa kusababsisha taharuki na sintonfahamu.
Mi nashauri asiponyoosha maelezo apigwe BAN ili iwe fundisho kwa wengine.