FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Bila kufanya fujo kama hizi za kuhusisha mamlaka zingine kama Ardhi na Polisi itakuwa ni kazi bure. Yeye aripoti tu imepotea,uone kama hao matapeli hawatajitokeza vichwa vyao..Huyo mama kazungushwa sana na kuhangaishwa bila sababu. Wewe hapa unataka kumwongezea matatizo badala ya kumpa ushauri wa kumsaidia amalize matatizo yake.