NMB wagoma kurudisha hati ya nyumba, japo deni lao limeshalipwa lote

Status
Not open for further replies.
Kwamba mtu alipe mkopo halafu atupe zile receipts za malipo? Yaani hana document za kuulipa?
Kumbuka Hati hadi sasa bado inasoma jina la Bank hadi Mortgage iwe discharged na Bank wenyewe ili jina sasa lisome tena la mwenye hati!!
 
Hiyo transfer ya jina ilifanyika lini na wapi? Vipi wakirudisha hati ila wasifanye hiyo discharge ya mortgage?
 
Taarifa zote ziko Aridhi kama uliweka hati yako kama zamana ya mkopo bank! Hii nazungumzia mikopo ambayo iko registered kisheria! Kama ni mkopo wa juu kwa juu Aridhi hawawezi kua na taarifa, na anaweza kwenda omba hati nyingine na bado akapewa!!
 
Then aende Ardhi moja kwa moja kudai hati yake..
 
Kama kwa upande kweli umemaliza deni; na umeomba urudishiwe hati imeshindikana kupatiwa. Hapo patamu. Ukimpata wakili mzuri; una uaga umaskini wa shida ndogo ndogo.
NB:
Inawezekana hiyo hati
1. Ilikuwa misplaced
2.imefanyiwa mkopo kwa mtu mwingine
3. Unakomolewa maana hukukata michuzi wakati unapewa fuba.
4. Wanatengeneza mazingira ukope tena
 
Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stori kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana.

Uyo Mama kahangaika sana hadi akalipa deni lote, AJABU NMB SENGEREMA hawataki kumpa hati yake. Mbona kama nanusa mchezo mchafu? Inakuwaje benki kubwa hivi hawajahifadhi hati ya huyu mteja kwamba akimaliza mkopo wamrudishie mali yake?

Ziadi ya miaka 4 wanamzungusha mama wa watu amejaribu hata kutafuta watu anaojuana nao huko NMB ila nao hawasaidii kitu hebu anayeweza kufikisha taarifa, afikishe.

NMB tawi la SENGEREMA kuna mtu anataka kumpiga huyo Mama nyumba yake. Sio sawa

Pia soma
Naomba msaada wa wakili mzuri aliyepo Sengerema, Mwanza atakayeweza kusaidia hili suala la NMB kugoma kutoa hati ya mteja wao kwa miaka mitano
Tuko busy na katiba kwanza
 
Dawa
Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stori kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana.

Uyo Mama kahangaika sana hadi akalipa deni lote, AJABU NMB SENGEREMA hawataki kumpa hati yake. Mbona kama nanusa mchezo mchafu? Inakuwaje benki kubwa hivi hawajahifadhi hati ya huyu mteja kwamba akimaliza mkopo wamrudishie mali yake?

Ziadi ya miaka 4 wanamzungusha mama wa watu amejaribu hata kutafuta watu anaojuana nao huko NMB ila nao hawasaidii kitu hebu anayeweza kufikisha taarifa, afikishe.

NMB tawi la SENGEREMA kuna mtu anataka kumpiga huyo Mama nyumba yake. Sio sawa

Pia soma
Naomba msaada wa wakili mzuri aliyepo Sengerema, Mwanza atakayeweza kusaidia hili suala la NMB kugoma kutoa hati ya mteja wao kwa
 
Kazi ya hati kwenye mkopo si dhamana? Kama ameshalipa hati inakazi gani tena kwa benki? Si irudishwe?! Otherwise wacha tureport imepotea, halafu ndio mtatoa kichwa kwenye hilo shimo tuwakate panga vizuri..
Unayo matatizo kichwani.
Benki na huyo mama walishamalizana na huyo mama kuhusu mkopo. Benki hawajatoa hiyo hati kumrudishia mwenyewe mwenye hati (mama).
Mama anakwenda Benki kuulizia hati yake, anaambiwa arudi nyumbani atapigiwa simu; lakini simu hata moja hapoki toka benki, miaka mitano sasa!

Kwa hiyo hati iko benki, na kuna wachangiaji wengine humu wameeleza kuwa inawezekana matapeli wa benki wameitumia kuchukua mkopo, ndiyo maana wanashindwa kuirudisha kwa mwenyewe, badala yake wanatumia mbinu za kumzungusha, miaka mitano mfululizo.
Kuna wachangiaji wengi tu wameshauri huyo mama alipeleke swala lake mahakamani; na adai fidia ya usumbufu wa muda mrefu. Wakili apatikane wa kumsaidia huyo mama. Gharama za huyo wakili zitatokana na fidia itakayodaiwa.
Wewe hapo ukaingia kwa gia nyingine kabisa, kwamba mama adai hati imepotea, kwa hiyo aende kuomba nyingine. Mwanzo nilidhani ni wazo lakutaka kuchekesha watu tu, kumbe sivyo. Nikakueleza huko nako kuna 'process' atakazotakiwa kuzifuata huyo mama, kama kwenda kutoa ripoti polisi kuwa kapotelewa na Hati (huku ikiwa ni uongo). Hili pekee linakufanya wewe uonekane kuwa kichaa, tena tapeli lisilokuwa na akili.
Sihangaiki tena na wewe.
 
Hiyo ipo sana na ni kawaida yao, kuna jamaa yangu akawa ananisimulia kisa cha baba mkwe wake. Walivyoichukua hati yake na kutumia kulinda mkopo wa mtu mwingine.
Au yule Mzee Mmasi tapeli kesha pita nayo huko Bank!? Maana matapeli kwa michongo hawajambo na wako Well connected, alafu kesho anakwambia mwenye hati kamuuzia,kumbe kala njama na watu wa Bank kupata Hati!!
 
Unayo matatizo kichwani.
Benki na huyo mama walishamalizana na huyo mama kuhusu mkopo. Benki hawajatoa hiyo hati kumrudishia mwenyewe mwenye hati (mama).
Mama anakwenda Benki kuulizia hati yake, anaambiwa arudi nyumbani atapigiwa simu; lakini simu hata moja hapoki toka benki, miaka mitano sasa!

Kwa hiyo hati iko benki, na kuna wachangiaji wengine humu wameeleza kuwa inawezekana matapeli wa benki wameitumia kuchukua mkopo, ndiyo maana wanashindwa kuirudisha kwa mwenyewe, badala yake wanatumia mbinu za kumzungusha, miaka mitano mfululizo.
Kuna wachangiaji wengi tu wameshauri huyo mama alipeleke swala lake mahakamani; na adai fidia ya usumbufu wa muda mrefu. Wakili apatikane wa kumsaidia huyo mama. Gharama za huyo wakili zitatokana na fidia itakayodaiwa.
Wewe hapo ukaingia kwa gia nyingine kabisa, kwamba mama adai hati imepotea, kwa hiyo aende kuomba nyingine. Mwanzo nilidhani ni wazo lakutaka kuchekesha watu tu, kumbe sivyo. Nikakueleza huko nako kuna 'process' atakazotakiwa kuzifuata huyo mama, kama kwenda kutoa ripoti polisi kuwa kapotelewa na Hati (huku ikiwa ni uongo). Hili pekee linakufanya wewe uonekane kuwa kichaa, tena tapeli lisilokuwa na akili.
Sihangaiki tena na wewe.
Hahaha, sawa, ila kureport imepotea ni njia moja wapo ya kucapture attention ya mamlaka zingine, na hata wao pia watatoa vichwa vyao toka shikoni ili tuvikate kabisa..
 
Huyo mama kazungushwa sana na kuhangaishwa bila sababu. Wewe hapa unataka kumwongezea matatizo badala ya kumpa ushauri wa kumsaidia amalize matatizo yake.
 
Hiyo ni taasisi ya biashara,nenda kwenye vyombo vya habari useme alafu irushwe hewani,wanaogopa kuchafuluwa biashara,watatoa fasta😂😂
 
1. Pengine wameitumia hiyo hati kujikopesha pesa nyingine ndefu na bado marejesho yanaendelea.
2. Hati imebadilishwa.
3. Hukuwa unalipa marejesho kupitia akaunti na wanajua huna ushahi wa ulivyorejesha ukifungua kesi watasema bado wanakudai.
4. Wanataka muda wa kufungua kesi kisheria baada ya mkataba kuisha upite ukose haki.
Kuweni macho.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom