NMB wagoma kurudisha hati ya nyumba, japo deni lao limeshalipwa lote

 NMB wagoma kurudisha hati ya nyumba, japo deni lao limeshalipwa lote

Status
Not open for further replies.
Kwahiyo ikiwekwa kwenye gazeti na wakaona ndio wataibuka kusema hawajarudisha ilihali wamelipwa?
Wataibuka na sababu yoyote ile mradi utapeli wao ufanikiwe.
Mama kaenda Benki miaka mitano; unadhani watashindwa kutunga uongo mwingine kulinda maslahi yao?
Kama wameifanyia kazi hati hiyo kwa miaka mitano, watashindwa vipi kuendelea kuitumia kwa mwaka mmoja zaidi kuhitimisha kazi iliyobaki.
Mama atarudishiwa hati wakati wakimaliza kuifanyia kazi zao.
 
Achana nae huyo hajui kitu, unafanyaje lost report wakati mkopo wake umesajiliwa kwenye hati yake, mwenye mamlaka ya kufanya lost report ni mtoa mkopo na si yeye!!
Mtoa mkopo akishalipwa deni lake, hana tena mamlaka yeyote juu ya hati, bali yule mwenye hati. Maana hiyo hati hajauza wala kuweka bondi kwa mtu mwingine..
 
Wataibuka na sababu yoyote ile mradi utapeli wao ufanikiwe.
Mama kaenda Benki miaka mitano; unadhani watashindwa kutunga uongo mwingine kulinda maslahi yao?
Kama wameifanyia kazi hati hiyo kwa miaka mitano, watashindwa vipi kuendelea kuitumia kwa mwaka mmoja zaidi kuhitimisha kazi iliyobaki.
Mama atarudishiwa hati wakati wakimaliza kuifanyia kazi zao.
Itapofika huko, arudi tumpe mbinu nyingine, ila ajaribu hii tuone..
 
Mkuu 'raraa reree', hivi kweli huwa unasoma unachowekea 'like' au ni 'kama 'automatic' tu kama ya 'Artificial Intelligence vile, ukipita haraka kwenye ukurasa 'like' zinabaki nyuma yake!
 
Namba ya Wakili Msomi hii hapa:
+255 (0) 656 614 333

Mcheck fasta ushinde kesi
Hivi hiyo "sufuri" kwenye namba za simu huwa inakuwepo kwa sababu zipi hasa? Hili halihusiani na mada, lakini naomba mwenye kujuwa anifahamishe.
 
We mwwendawazimu nini.., imalize kazi yake kwani aliwapa hiyo kazi?
Sasa unakuwa boya kwelikweli. Umeandika nini hapa? Unazungumzia kazi ya nani; huyo mama, au kazi inayofanyiwa hiyo hati, akili ndogo ya kuku haiwezi kutofautisha kati ya hayo?
Kwanza nilikustiri tu toka mwanzo, kwa sababu hayo uliyopendekeza toka mwanzo ni ujinga mtupu.
 
Mtoa mkopo akishalipwa deni lake, hana tena mamlaka yeyote juu ya hati, bali yule mwenye hati. Maana hiyo hati hajauza wala kuweka bondi kwa mtu mwingine..
Yess, lakini lazima makabidhiano officially ya hati lazima yafanyike kwa documents na si kwa maneno tu,eti nimemaliza mkopo!!
 
Hawa NMB ndo wapo hivo wanahisi ataenda benki nyingine kukopa . Nimeiona hata Njombe hii wanasumbua saana .
 
Sasa unakuwa boya kwelikweli. Umeandika nini hapa? Unazungumzia kazi ya nani; huyo mama, au kazi inayofanyiwa hiyo hati, akili ndogo ya kuku haiwezi kutofautisha kati ya hayo?
Kwanza nilikustiri tu toka mwanzo, kwa sababu hayo uliyopendekeza toka mwanzo ni ujinga mtupu.
Kazi ya hati kwenye mkopo si dhamana? Kama ameshalipa hati inakazi gani tena kwa benki? Si irudishwe?! Otherwise wacha tureport imepotea, halafu ndio mtatoa kichwa kwenye hilo shimo tuwakate panga vizuri..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom