NMB wagoma kurudisha hati ya nyumba, japo deni lao limeshalipwa lote

 NMB wagoma kurudisha hati ya nyumba, japo deni lao limeshalipwa lote

Status
Not open for further replies.
Kwa mjibu wa mleta mada ni kuwa Mama kila akienda benki anaambiwa arudi nyumbani watampigia simu.
Ni vigumu sana kuamini hili; miaka mitano yote mtu unaahidiwa kupigiwa simu; halafu wewe huchoki unaendelea tu na safari za kwenda Benki kupata jibu lile lile?
Hii mada imeanza kuonekana kuwa ni ya kibabaishaji.
Sawa kabisa ubabaishaji mwingi bila kuwasikia NMB kauli yao tutadanganyana tu hapa
 
Wewe huna akili, i am done with you. Ujuaji mwingi, maneno machafu na huna unachokijua.
Ungeweka unachokijua wewe kwa lugha nzuri tu, ingemnyamazisha moja kwa moja huyo mwenye "ujuaji mwingi" kama unavyosema.

haya uliyoweka hapa, na huko juu yanaonyesha unayo matatizo fulani.
 
Case tamu sana hii pesa nje njee asee watu mna kaa na case zenye pesa na hamsemiii daah.
Kama kweli ni kesi ya pesa weka mtaji,pesa ikitoka utachukua percentage yako,siyo wwe unataka kuanza kuomba pesa ya uwakili mbele kutoka kwa mteja!!
 
Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stori kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana.

Uyo Mama kahangaika sana hadi akalipa deni lote, AJABU NMB SENGEREMA hawataki kumpa hati yake. Mbona kama nanusa mchezo mchafu? Inakuwaje benki kubwa hivi hawajahifadhi hati ya huyu mteja kwamba akimaliza mkopo wamrudishie mali yake?

Ziadi ya miaka 4 wanamzungusha mama wa watu amejaribu hata kutafuta watu anaojuana nao huko NMB ila nao hawasaidii kitu hebu anayeweza kufikisha taarifa, afikishe.

NMB tawi la SENGEREMA kuna mtu anataka kumpiga huyo Mama nyumba yake. Sio sawa

Pia soma
Naomba msaada wa wakili mzuri aliyepo Sengerema, Mwanza atakayeweza kusaidia hili suala la NMB kugoma kutoa hati ya mteja wao kwa miaka mitano
Njia hizi
1.piga makao makuu ya nmb dsm posta toa taarifa pia taarifa ifike BOT maana ndo wasimamizi wakuu wa mabenk na mienendo ya mabank pia barua nyingine wachape wizara ya fedha

2.peleka kesi polisi sengerema pamoja na ushahidi kuwa ulimaliza deni

3.fungua kesi sengerema tafuta mwanasheria mzito sana fungua kesi ya pamoja na usumbufu wakulipe million 200 juu . Uwe na ushahidi wa makaratasi kuwa ulimaliza deni

4. Muda huo huo takukuru nao wape taarifa uzushiiiii

5. pia nenda benk waambie utaongea na vyombo vya habari wape tu taarifa ..... wakizubaa tafuta laki 3 waite waandishi wa habari online tv pamoja na wa vyombo vya habari lia hata uongo tu kuwa nmb wanakudhulumu habari itasambaaa hadi kwa viongoz

Inshort kinukisheeeee kila kona .....so ole wako uwe hujamaliza deni ......

Inshort wanakuzungusha sio kuwa wanataka kukudhulumu inaoneka hati imepotea haionekani so wanahaha

Ila kinukishe tu huwezi jua
 
Kwa mjibu wa mleta mada ni kuwa Mama kila akienda benki anaambiwa arudi nyumbani watampigia simu.
Ni vigumu sana kuamini hili; miaka mitano yote mtu unaahidiwa kupigiwa simu; halafu wewe huchoki unaendelea tu na safari za kwenda Benki kupata jibu lile lile?
Hii mada imeanza kuonekana kuwa ni ya kibabaishaji.
Unaweza.kuta ni wanafunzi wa Law school wameleta hii maada kama test wamepewa huko chuonikwao!
 
Hebu acheni ujinga, nenda karipoti kwamba hati imepotea (loss report), baada. Ya hapo fuata taratibu ili upewe nyingine.
Sasa kwanini afanye udanganyifu wakati anajua haijapotea ? Yaani aingie gharama ya kufanya udanganyifu wakati anajua ilipo ?

Ili suala aache mambo ya kuongea verbal aende kwenye tawi na kuuliza ni nini kinaendelea na kuuliza kwake kusiwe kwa maneno tu bali barua na copy abaki nazo (kama katika usumbufu wote huu angekuwa anaandika barua na maelezo anayo yangemsaidia sana katika kwenda ngazi za juu)

Ila nadhani bado jibu halijapatikana NMB wanasemaje ?
 
Achana nae huyo hajui kitu, unafanyaje lost report wakati mkopo wake umesajiliwa kwenye hati yake, mwenye mamlaka ya kufanya lost report ni mtoa mkopo na si yeye!!
 
YAAN AENDE MAHAKAMANI ATAYAMALISA YOTE WALITAKA KUUZA NYUMBA YA SHEMEJI YANGU TUKAWAHI MAHAKAMAN AKAPIGWA STOP TUKATAFUTA DALALI TUKAMALIZANA TUKAPELEKA PESA YAOO MANAGER ALINICHUKIA MPAKA KESHOO AKAWA ANAULIZA NAFANYA KAZI WAPI WE NANI KWAKEE NIKAMJIBU HAMTOUIGUSAA HOI ARDHI NIKIWA HAI

OV
 
ukiona hivii 5 yrs njoo dar tukupe coñct ukamwone boss wao buree kabisaa yule akizingua tukupe nxty step ambayoo awatakaa wakusahau
 
Unaweza.kuta ni wanafunzi wa Law school wameleta hii maada kama test wamepewa huko chuonikwao!
Inawezekana sana.
Lakini hata ikiwa hivyo hii mada inaweza kuwa msaada sana kwa wengi wanaoonewa, siyo na Benki tu, bali mahali kwingi serikalini. Baadhi ya majibu yanayowekwa hapa ni shule nzuri kwa kila mtu.
Kwa hiyo, mada yenyewe ina manufaa sana. Ila kama ni maigizo..., basi sawa, tutachukuwa hiyo sehemu nzuri ya kujifunza na kuelewa nini cha kufanya yakitufika sisi wenyewe.
 
Sababu njia za kistaarabu wamezikataa
Nimefuta nilichotaka kukujibu mwanzo.
Kwa hiyo huyu mama atapewa hati mpya, mbadala wa ile iliyopotea? Alienda polisi kuandikisha kupotelewa na hati?
Na kama Benki waliifanyia kazi yao hiyo hati ya mama, hawana njia ( ya kitapeli vilevile) ya kuhakikisha mama hapati hati mpya?
 
Watajuaje kwamba ameomba mpya?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom