FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Bila kufanya fujo kama hizi za kuhusisha mamlaka zingine kama Ardhi na Polisi itakuwa ni kazi bure. Yeye aripoti tu imepotea,uone kama hao matapeli hawatajitokeza vichwa vyao..Huyo mama kazungushwa sana na kuhangaishwa bila sababu. Wewe hapa unataka kumwongezea matatizo badala ya kumpa ushauri wa kumsaidia amalize matatizo yake.
Kazungushwa ndio, ila hati ni yake, mtu kukataa kuirudisha ni sawa na kuibiwa/ kupotea. Aende akaripoti huo upotevu polisi, halafu vuguvugu likianza, wenyewe watatoa vichwa shimoni, lazima tuwafueke..Huyo mama kazungushwa sana na kuhangaishwa bila sababu. Wewe hapa unataka kumwongezea matatizo badala ya kumpa ushauri wa kumsaidia amalize matatizo yake.
Ndiyo maana nilikuvumilia toka mwanzo, kwa sababu kuna 'merit' katika kufanya hivyo. Itavuta 'attention' ya wahusika wa Benki, watake au wasitake.Kazungushwa ndio, ila hati ni yake, mtu kukataa kuirudisha ni sawa na kuibiwa/ kupotea. Aende akaripoti huo upotevu polisi, halafu vuguvugu likianza, wenyewe watatoa vichwa shimoni, lazima tuwafueke..
Haha, eti ulinivumilia.., kumbe hoja mliielewa ila mnapenda ligi tu, haya, hiyo imepita. On to the next..Ndiyo maana nilikuvumilia toka mwanzo, kwa sababu kuna 'merit' katika kufanya hivyo. Itavuta 'attention' ya wahusika wa Benki, watake au wasitake.
Tena asiwafiche anafanya nini. Aende tu moja kwa moja kwa meneja na kumwambia kuwa anakwenda polisi kutoa ripoti ya kupotelewa na hati yake, baada ya hatua hiyo atakwenda kwa msajiri apate hati nyingine. Hakika hili litawashughulisha.
Ulipoileta wewe mwenyewe ulikuwa hujui unachozungumzia; maanake hata 'process' za njia hiyo hukuzijua. Kwa hiyo usijione mjuwaji.Haha, eti ulinivumilia.., kumbe hoja mliielewa ila mnapenda ligi tu, haya, hiyo imepita. On to the next..