macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Kwa nini huyo mfanyakazi wa benki hakumshauri afanye hivyo? Nimeuliza najua huna jibu lakini kutokana na maelezo ya mhusika ni kuwa aliambiwa aende mwenyewe physically. Otherwise pengine aliambiwa lakini hakuzingatia. NMB Tanzania tunaomba maelezo yenu.Kwa kawaida mngemshauri huyo mmiliki wa Akaunti apige simu huduma kwa wateja kisha aombe kadi yake kufungwa.
Angeulizwa maswali ambayo kimsingi angemudu kuyajibu kama salio lililopo, muamala wa mwisho kufanya, nambari ya simu anayotumia kwenye Akaunti n.k. Kisha wangei block bila kuhitaji mtu kwenda Physically.
Kwa kifupi uzembe mliofanya msiurudie tena siku nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app