NMB yawaburuza CRDB na wenzake kifaida chini ya Mwanamama Ms Ruth Zaipuna, huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt. Tulia mwingine ni huyu Mama

Hahaha , Jidu La Mabambasi nakuheshimu sana ila kwenye hili umebugi sanaMzee, Bank mpaka Senti moja iko kwenye control hahaha,

Huyu dada apewe maua yake
😆😆 Watanzania wako na hangover wanadhani Kila kiongozi ni mwizi Kuna sehemu hata kama ni mwizi huna nafasi ya kuiba , kama huko bank,

Ninajamaa yangu alikuwa na tabia ya udokozi huko bank hakumaliza hata miezi sita.
 
Angalia utapata laana kwa Mungu wako kwa kuzungumza mambo ya uongo,

Personal sijawahi ona Mtu mwadilifu na Mchamungu kama huyu Mama,

Mungu ampe Kila haja ya moyo wake
Waziri wa Fedha Bora kabisa kama atakubali kuingia kwenye siasa japo sidhani kama atakuwa tayari
 
Pongezi ziende Pia kwa Bodi ya Wakurugenzi hasa Mwenyekiti wa Bodi..
Hao ndio Wanabeba majukumu na Maono ya Kampuni..
 
Ukimtegemea Mungu kwakweli lazima upae tu, Nakupenda sana dada Ruth
 
Kama sijasoma vibaya mwandishi amesema majimbo ya bara sio na Zanzibar sijui kama yatakuwa mengi ambayo bado hawajafikiwa na NMB.
Yes. Na mimi namaanisha tanzania bara. Sio Tanzania visiwani.

Ingekuwa vyema kusema NMB imefika kila wilaya ingekuwa shihi. Kuna wilaya nyingi zina majimbo hadi matatu ya uchguzi, lakini bank ziko katika jimbo moja, ambalo ni makao makuu ya wilaya. So ukifuatilia kwa mtindo huo utakuta kuna majimbo mengi bado hayana huduma za kibenki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…