TrioNeTwork
JF-Expert Member
- Aug 7, 2022
- 444
- 382
Sio lazima mshahara kupitia NMB mbonaSio yeye ila ni kwa sababu mishahara ya watumishi wa umma inapitia nmb na wanalazimika kukopa huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima mshahara kupitia NMB mbonaSio yeye ila ni kwa sababu mishahara ya watumishi wa umma inapitia nmb na wanalazimika kukopa huko
Itapendeza sana,Waziri wa Fedha atafaa sana
ila kusema ukweli Singida kuna vichwa vyenye akili na hawana arogance na kujitangaza km Hayas na chagas, hawa hasa Chagas wametuchosha na sifa za kijinga humu mtandaoni wakati they are just below normal.View attachment 2805767
MS Ruth Zaipuna Mkurugenzi Mkuu NMB.
======
Wasalaam Jf team,
Waswahili tunasema " Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake Mpeni "
Sote tunakumbuka baada ya NBC Bank kuvunjwa Mwaka 1997 na baadae kuanzishwa kwa Benki mpya ya Makabwera ya NMB na baadae Benki hiyo kubinafsishwa kwa Rabobank ya Uholanzi iliyomiliki hisa asilimia 49.
Wakati wote NMB PLC imekuwa ikiongozwa na watu kutoka nje ya nchi tu isipokuwa huyu Mkurugenzi wa Sasa Bi Ruth Zaipuna aliyekabidhiwa nafasi hiyo ya Mkurugenzi Mkuu rasmi mwaka 2020.
Kumbukumbu zinaonesha wakati mama huyu anaingia madarakani NMB bank ilikuwa na matawi yapatayo 100 tu nchi nzima na ATMs zipatazo 500 nchi nzima.
Leo NMB bank imefikisha matawi zaidi ya 200 na ATMs zaidi ya ATMs 1,000 nchi nzima hii ni sawa na kusema mama huyu ameikuza bank hii ya Makabwera kwa zaidi ya marambili, yaani ukuaji wa 100% au kwa lugha rahisi ni sawa na kusema NMB bank PLC imefika katika Kila Jimbo la Uchaguzi la kiserikali haba bara.
Kutoka katika tovuti ya NMB taarifa zinaonesha NMB bank ilikuwa na wateja wasiozidi 600,000 miaka kumi iliyopita na wakati huu wa Ruth Zaipuna banki hii imefikia wateja zaidi ya 2.5M nchi nzima,karibu mara nne zaidi.
Kuhusu Uzalendo & Uzawa Kunajambo la kujifunza kwa hawa wanawake watatu yaani Rais Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan, Spika wa bunge la JMT na IPU Mhe Dkt Tulia Hassan na Mkurugenzi Ruth Zaipuna kwa namna wanavyoleta mabadiliko ya kasi kwenye taasisi wanazoziongoza,
Hebu tazama orodha hii ya faida kwa mabenki kumi ya Tanzania yaliyofanya vizuri katika robo ya tatu tu ya mwaka huu wa 2023 ndio utaelewa vizuri nachosema kuhusu huyu Mkurugenzi.
1. NMB Bank: TZS 398 billion
2. CRDB Bank: TZS 280 billion
3. Stanbic Bank: TZS 95 billion
4. StanChart: TZS 64 billion
5. NBC Bank: TZS 62 billion
6. Citibank TZS 44 billion
7. PBZ TZS 41 billion
8. Exim Bank TZS 40 billion
9. Absa Bank TZS 37 billion
10. KCB Bank TZS 35 billion
Taarifa zinaonesha faida ya Jumla kwa mabenki yote Tanzania ni shilingi trilioni moja katika robo hii ya tatu, Hii ni sawa na kusema NMB PLC pekee anamiliki 40% ya faida yote huku ikimpiku kwa mbali mshindani wake wa karibu CRDB bank kwa zaidi ya TZS 118 BL sawa na 70% ya faida yake.
Wakati Ruth Zaipuna anakuwa Mkurugenzi Mkuu Benki hii ilikuwa na wastani wa faida ya TZS 200BL baada ya kodi wakati Leo faida imekuwa na kufikia wastani wa karibu TZS 400BL kwa mwaka yaani sawa na marambili zaidi.
Pia,taarifa zinaonesha Benki ya NMB inashika nafasi ya sita kwa Ukubwa katika nchi zote Kusini mwajangwa la Sahara na ndio Benki pekee toka Tanzania inayoshindana kimataifa,
Watanzania tunalakujivunia toka kwa Mkurugenzi huyu mzawa akisaidiwa na management nzima ya NMB PLC pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa NMB PLC chini ya Dkt Edwin Mhede, Hakika Mmestahili Heshima.
Kwa matokeo haya, Huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt Tulia mwingine ni huyu Ruth Zaipuna wa NMB PLC deserves better,
jimbo moja na MwiguluWaziri wa Fedha atafaa sana
Anafaa sana huyu Rais amwangalie kama atakubali kutoka NMBView attachment 2805767

Nani wamaana Rais au Ruth?Acha ku compare watu wa maana na wanasiasa wewe!!!
Tobajimbo moja na Mwigulu
Sasa ,tunatamani kusikia ndoa yake ya Lini,umri huo anaitwa Ms ,JAMANI !
Ukabwa wa assets wakati mwenye asset ndogo zaidi yako anaweza zalisha faida kuliko mwenye asset zako ?CRDB mjitafakari saaanaPlease ukubwa in terms of what? Kama ni total assets CRDB ina Trillion 11.64 ila NMB ina Trillion 10.4!! Umetumia parameters zipi. Utusaidie kwa faida ya wote.
Wa magufuri haujajengwa bado mnataka mwingineKama haya ni kweli huyu dada ajengewe Mnara tu pale Samora
Ukweli ni kwamba dada anafanya kazi nzuri sanaAiseeee, kumbe Watanzania Tunaweza tukiaminiana
Great idea,Ukabwa wa assets wakati mwenye asset ndogo zaidi yako anaweza zalisha faida kuliko mwenye asset zako ?CRDB mjitafakari saaana
Ukitaka kumuoa lazima nawe uchumi wako uwe imara, lasivyo utatuletea shida hapaSpika kijana Tulia na huyu Ruth ni hatari. Halafu ulivyoandika Ms ina maana hajaolewa? Ni mzuri hatari anaweza kwenda sawa hata na kina Jokate.
riba na wiziiii hamna kinginee, NMB saivi mikopo yao inatoka chap chap huzungushwiii..Faida au wizi wa fedha za riba kwenye mikopo.
The man is very smart ever tangu aingie pale hakuna fukuza fukuza za staff kishamba shamba, namkubali sana huyu mwambaPale Kuna mtu anaitwa Emmanuel Akonay nadhani ndio kocha wa Kila kitu pele, Apongezwe sana huyu Mwamba baada ya Ruth ni yeye
Jamaa wanataka kuoa MD hahaaAmeolewa ni mama wa watoto wanne
Mlokole huyo enzi za udsm ndio walikuwa wale wadada praise team.
Alipiga zake first class akaajiriwa Big 4 PwC straight from chuo.
Ameolewa mapema sana kabla hajavuka 27. Na akazaa zake fasta fasta watoto wanne wa kiume.
Amefanya kazi kama Auditor PWC kwa miaka 10.
Kisha akahamia Standard chartered bank kwa cheo cha Chief Financial Officer. Amehudumia hicho cheo cha CFO standard chartered kwa miaka 6. Ndipo akahamia NMB bank na kuwa CFO kwa mwaka mmoja kabla hajapandishwa cheo na kuwa CEO