ABC ZA 2025
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 1,299
- 832
Akonay my brother ni mtu na nusu huyu mtuPale Kuna mtu anaitwa Emmanuel Akonay nadhani ndio kocha wa Kila kitu pele, Apongezwe sana huyu Mwamba baada ya Ruth ni yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akonay my brother ni mtu na nusu huyu mtuPale Kuna mtu anaitwa Emmanuel Akonay nadhani ndio kocha wa Kila kitu pele, Apongezwe sana huyu Mwamba baada ya Ruth ni yeye
Acha kunisababishia ushindan na wadau wengine km wakishtukia goma halijasajiliwa rasm[emoji41][emoji41][emoji41]Sasa, tunatamani kusikia ndoa yake ya Lini, umri huo anaitwa Ms JAMANI!
Faida kwenye riba kubwa ya kuwanyonya wateja, mnachekesha sana.View attachment 2805767
MS Ruth Zaipuna Mkurugenzi Mkuu NMB.
B PLC chini ya Dkt Edwin Mhede, Hakika Mmestahili Heshima.
Kwa matokeo haya, Huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt Tulia mwingine ni huyu Ruth Zaipuna wa NMB PLC deserves better.
Ameshaolewa huyo Cheki na MobetoAcha kunisababishia ushindan na wadau wengine km wakishtukia goma halijasajiliwa rasm[emoji41][emoji41][emoji41]
Kaolewa na nan???Ameshaolewa huyo Cheki na Mobeto
Upinzani hewa huuTaarifa ulizotoa ni upotoshaji. NMB imeongeza matawi yasiyofika hata 20 na ATM kama 40 hivi kwa miaka mitatu iliyopita.
Faida lazima iongezeke kwasababu hii ndio benki vilaza wengi wanapitishia mishahara na kuchukua mikopo bila plan.
Hata hivyo ujue kwamba mabadiliko makubwa miaka hii yamekuja baada ya Arise kununua hisa za Rabobank.
Ila kwaujumla Ruth amejitahidi hasa ukizingatia kwamba alikuwa CFO hapo kabla.
Akiwa Waziri wa Fedha pia itafaa sanaSafi Sana MD Ruth Zaipuna. Mmesahau kuandika kuwa wanahisa NMB tumepata gawio la kufa mtu mwaka wa fedha 2022. Nilipokea SMS ya gawio nikafikiri wamekosea. Nikapiga kwa share officer wangu Nmb kujua kulikoni. Nikampa CDS no yangu. Akaniambia fedha ni yako hiyo. Long Live Ruth Zaipuna. Ila chonde ubaki tu bank hapo itumie Elimu yako yenye msingi mzuri wa shule maalum ya Kilakala Girls alikosoma binti yangu pia. Akikuta jina lako Kilakala likiwa na sifa pia. Anafanya pia vizuri huko alikoajiriwa. Big up Madam Zaipuna.
Pale vichwa ni Kimori, CFO, Chacha, Treasurer, Mponzi, CRB, Kwame, CTDT, Nenyuata, CSS, Shao, CWB.Pale Kuna mtu anaitwa Emmanuel Akonay nadhani ndio kocha wa Kila kitu pele, Apongezwe sana huyu Mwamba baada ya Ruth ni yeye
Wewe ukiwa kama nani hadi kusema hivyo?Ukitaka kumuoa lazima nawe uchumi wako uwe imara, lasivyo utatuletea shida hapa
Emmanuel Akoonary is the best ukimwacha Ruth overrrPale vichwa ni Kimori, CFO, Chacha, Treasurer, Mponzi, CRB, Kwame, CTDT, Nenyuata, CSS, Shao, CWB.
Hivi kweli MD akose mtu?Wewe ukiwa kama nani hadi kusema hivyo?
Kazi ya benki kuu ni kusimamia hizi benki za kibiashara kutoa mikopo yenye riba nafuu kwa wananchi ili waweze kupata maendeleo jibu lako kuwa kukopa siyo lazima ni kweli lakini ni jibu la kishenzi.Mkopo kwani ni lazima kukopa, Mimi sina kumbukumbu sahihi ila nadhani ni NMB ndio yenye riba nafuu sana
Kazi inafangika kama haya ni kweliData zipi hapo? Eti benki imekua by 100%?
Wewe hauna substance, nakupa block maana unaropokaropoka kubishana na sisi wadau wa sekta.Emmanuel Akoonary is the best ukimwacha Ruth overrr
Yes I know the man ni mtu mwema sana ndio maana NMB inakua kwa kasi inawatu sahihi sana.Emmanuel Akoonary is the best ukimwacha Ruth overrr
Inawezekana ndugu.Hivi kweli MD akose mtu?
Nimecheka kwa sauti aiseeeTatizo siasa mbovu za nchi hii hazitoi mwanya kwa watu creative kuonyesha umaridadi wao kwenye serikali , serikali hii iliyojaa vilaza na wachawi ,hao watu creative wataishia kupigwa fitna tu na kulogwa