NMB yawaburuza CRDB na wenzake kifaida chini ya Mwanamama Ms Ruth Zaipuna, huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt. Tulia mwingine ni huyu Mama

View attachment 2805767
MS Ruth Zaipuna Mkurugenzi Mkuu NMB.

B PLC chini ya Dkt Edwin Mhede, Hakika Mmestahili Heshima.

Kwa matokeo haya, Huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt Tulia mwingine ni huyu Ruth Zaipuna wa NMB PLC deserves better.
Faida kwenye riba kubwa ya kuwanyonya wateja, mnachekesha sana.
 
Taarifa ulizotoa ni upotoshaji. NMB imeongeza matawi yasiyofika hata 20 na ATM kama 40 hivi kwa miaka mitatu iliyopita.

Faida lazima iongezeke kwasababu hii ndio benki vilaza wengi wanapitishia mishahara na kuchukua mikopo bila plan.

Hata hivyo ujue kwamba mabadiliko makubwa miaka hii yamekuja baada ya Arise kununua hisa za Rabobank.

Ila kwaujumla Ruth amejitahidi hasa ukizingatia kwamba alikuwa CFO hapo kabla.
 
Safi Sana MD Ruth Zaipuna. Mmesahau kuandika kuwa wanahisa NMB tumepata gawio la kufa mtu mwaka wa fedha 2022. Nilipokea SMS ya gawio nikafikiri wamekosea. Nikapiga kwa share officer wangu Nmb kujua kulikoni. Nikampa CDS no yangu. Akaniambia fedha ni yako hiyo. Long Live Ruth Zaipuna. Ila chonde ubaki tu bank hapo itumie Elimu yako yenye msingi mzuri wa shule maalum ya Kilakala Girls alikosoma binti yangu pia. Akikuta jina lako Kilakala likiwa na sifa pia. Anafanya pia vizuri huko alikoajiriwa. Big up Madam Zaipuna.
 
Upinzani hewa huu
 
Akiwa Waziri wa Fedha pia itafaa sana
 
Mkopo kwani ni lazima kukopa, Mimi sina kumbukumbu sahihi ila nadhani ni NMB ndio yenye riba nafuu sana
Kazi ya benki kuu ni kusimamia hizi benki za kibiashara kutoa mikopo yenye riba nafuu kwa wananchi ili waweze kupata maendeleo jibu lako kuwa kukopa siyo lazima ni kweli lakini ni jibu la kishenzi.
 
Back
Top Bottom