Adilinanduguze2
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 1,386
- 1,919
Off course wapo ila very fewATM na branches bado ni muhimu Kuna watu hawawataki kabisa mawakala na branch kwaajili ya deposit na withdraw kubwa kubwa na opinng ya akaunt
Na ndio wanavyotaka
Na hata transaction costs wameziweka kubwa ili ku discourage watu kujazana branches
Sidhani kama unaweza withdraw more than 3m kwa ATM ila kwa wakala unaweza withdraw up to 25m