NMB yawaburuza CRDB na wenzake kifaida chini ya Mwanamama Ms Ruth Zaipuna, huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt. Tulia mwingine ni huyu Mama

NMB yawaburuza CRDB na wenzake kifaida chini ya Mwanamama Ms Ruth Zaipuna, huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt. Tulia mwingine ni huyu Mama

ATM na branches bado ni muhimu Kuna watu hawawataki kabisa mawakala na branch kwaajili ya deposit na withdraw kubwa kubwa na opinng ya akaunt
Off course wapo ila very few
Na ndio wanavyotaka
Na hata transaction costs wameziweka kubwa ili ku discourage watu kujazana branches

Sidhani kama unaweza withdraw more than 3m kwa ATM ila kwa wakala unaweza withdraw up to 25m
 
Mawakala ni muhimu sana ila ATM pia ni muhimu zaidi
 
Off course wapo ila very few
Na ndio wanavyotaka
Na hata transaction costs wameziweka kubwa ili ku discourage watu kujazana branches

Sidhani kama unaweza withdraw more than 3m kwa ATM ila kwa wakala unaweza withdraw up to 25m
Transaction cost ndani ya bank ziko chini sana pia. NMB kwa ujumla wake ni bank ya Makabwera wasio na kitu
 
zitto junior naona kaka yako analamba asali yuko kimyaa
Politics is a game of strategy. Hapo anakuwa ally ili apate majimbo yao 27 huko zenji hiyo 2025 then ndio wajijenge kuelekea 2030 hata wakimparua wanakua hawana cha kupoteza.

Ila kwa sasa samia ndio kashikilia fate ya ACT so hawana choice zaidi ya kujikomba.
 
Hongereni CRDB kwa hizi tuzo umlizopokea. Hakika katika uhalisia wa kibiashara unavoendelea sasa katika huduma za kifedha nchini mnastahili.
 
Attachments

  • 20231113_130915.jpg
    20231113_130915.jpg
    92 KB · Views: 3
  • 20231113_130858.jpg
    20231113_130858.jpg
    51.3 KB · Views: 3
  • 20231113_130844.jpg
    20231113_130844.jpg
    100.7 KB · Views: 3
  • 20231113_130819.jpg
    20231113_130819.jpg
    96.9 KB · Views: 3
Wewe hauna substance, nakupa block maana unaropokaropoka kubishana na sisi wadau wa sekta.
Kublock watu ni ishara ya kuwa na low self esteem na poor emotional intelligence.....

Komaza hilo bichwa mtoto wa kiume.
 
Hapana ila ili zuia asipate kazi serikalini haswa ukizingatia kipindi hicho. Ukiwa na elimu ya darasa la 7 na cheti chako Cha typing ajira nje nje...😭🤣😭🤣

Yeye alikuwa na cheti Cha typing na mjomba ake alikuwa mtu mzito TU serikalini hivi sasa ni marehemu {} alikuwa wizara ya Afya.

Alikataa kumsaidia kwasababu ya ujauzito😭😭😭

SI ajabu mama angekuwa sehemu nzuri TU. Nimemtia UMASIKINI mama angu...😭😭😭​
Angekazana kusoma usingezaliwa.
 
Back
Top Bottom