Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani hivi hilo nalo linahitaji ushauri?“Nimemkuta mke wangu AKICHORWA Tatoo ya TAKO Chumbani kwangu
Naitwa John ni mfanyakazi wa chuo Kikuu cha Udom, nimeoa mwaka jana tu na mke wangu alikuwa ni mwanafunzi wangu, tulianza mahusiano akiwa hapa chuo mie nikiwa mwalimu wake na yeye akiwa mwanafunzi mwaka 2014.
Baada ya kumaliza niliamua kumuoa, lakn baada ya kumuoa kuna vijitabia fulani amekuwa akinionyesha ambavyo sivipendi sana, amekuwa akinidharau na kutoka bila hata kuniaga, hivi majuzi nilisafiri kikazi lakini nikapata dharura nikarudi nyumbani ghafla, nilichokikuta MUNGU ndio anajua “Nilimkuta Mwanaume Chumbani kwangu AKIMCHORA TATTOO KWENYE MATAKO” Nilishikwa na butwaa lakini yeye akaonyesha kutojali kitu na akaniambia niache ushamba, ameamua Kumleta Hapo nyumbani kwani ni Sehemu Salama Zaidi.
Nishaurini wadau, Nifanyeje maana Huyu Mwanamke Ataniua na Presha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninavyopenda chura walahi mke wangu akikubali mwanaume mwingine aguse chura yake natoa talaka tatu kwa mpigo!![emoji23] [emoji23] [emoji23]Huna mke mkuu anachukuaje maamuzi hayo ya kujichora tatoo bila kushauriana na mume wake tena huko matakoni pole sana
Pole mkuu ,,,,kupanga ni kuchagua“Nimemkuta mke wangu AKICHORWA Tatoo ya TAKO Chumbani kwangu
Naitwa John ni mfanyakazi wa chuo Kikuu cha Udom, nimeoa mwaka jana tu na mke wangu alikuwa ni mwanafunzi wangu, tulianza mahusiano akiwa hapa chuo mie nikiwa mwalimu wake na yeye akiwa mwanafunzi mwaka 2014.
Baada ya kumaliza niliamua kumuoa, lakn baada ya kumuoa kuna vijitabia fulani amekuwa akinionyesha ambavyo sivipendi sana, amekuwa akinidharau na kutoka bila hata kuniaga, hivi majuzi nilisafiri kikazi lakini nikapata dharura nikarudi nyumbani ghafla, nilichokikuta MUNGU ndio anajua “Nilimkuta Mwanaume Chumbani kwangu AKIMCHORA TATTOO KWENYE MATAKO” Nilishikwa na butwaa lakini yeye akaonyesha kutojali kitu na akaniambia niache ushamba, ameamua Kumleta Hapo nyumbani kwani ni Sehemu Salama Zaidi.
Nishaurini wadau, Nifanyeje maana Huyu Mwanamke Ataniua na Presha
Sent using Jamii Forums mobile app
Msela abong'oe? AseeKama imefikia hatua hiyo na wewe inama tu wakuchome
Tena ye achore kwa kalamu ya wino tu inatoshaNawe muite mchepuko akuchore tatoo kwenye dushe....itakuwa ngoma droo.
Delta Force
Ina maana mpk leo hujui cha kumfanya huyo kicheche wako? Wewe kidume ,jiongeze.“Nimemkuta mke wangu AKICHORWA Tatoo ya TAKO Chumbani kwangu