Nmemkuta mke wangu anachorwa tatoo matakoni nyumbani na mwanaume

ingekuwa ni mimi kwanza sijui ingetokea nini maana duh chumbani tena ninacholala bora ingekuwa hata chumba kingine,lla ningefanya kitu kimoja ningetafuta mwanamke aje anichore tatoo hata kwa penseli ili mradi na yeye aje aniulize nimwambie acha ushamba
 
“Nimemkuta mke wangu AKICHORWA Tatoo ya TAKO Chumbani kwangu
Naitwa John ni mfanyakazi wa chuo Kikuu cha Udom, nimeoa mwaka jana tu na mke wangu alikuwa ni mwanafunzi wangu, tulianza mahusiano akiwa hapa chuo mie nikiwa mwalimu wake na yeye akiwa mwanafunzi mwaka 2014.

Baada ya kumaliza niliamua kumuoa, lakn baada ya kumuoa kuna vijitabia fulani amekuwa akinionyesha ambavyo sivipendi sana, amekuwa akinidharau na kutoka bila hata kuniaga, hivi majuzi nilisafiri kikazi lakini nikapata dharura nikarudi nyumbani ghafla, nilichokikuta MUNGU ndio anajua “Nilimkuta Mwanaume Chumbani kwangu AKIMCHORA TATTOO KWENYE MATAKO” Nilishikwa na butwaa lakini yeye akaonyesha kutojali kitu na akaniambia niache ushamba, ameamua Kumleta Hapo nyumbani kwani ni Sehemu Salama Zaidi.

Nishaurini wadau, Nifanyeje maana Huyu Mwanamke Ataniua na Presha

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani hivi hilo nalo linahitaji ushauri?
 
Huna mke mkuu anachukuaje maamuzi hayo ya kujichora tatoo bila kushauriana na mume wake tena huko matakoni pole sana
Mimi ninavyopenda chura walahi mke wangu akikubali mwanaume mwingine aguse chura yake natoa talaka tatu kwa mpigo!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Labda nikuulize kitu mkuu!......alikuwa anachorwa kitu gani?......nijibu then nitakushauri kitu!!!
 
“Nimemkuta mke wangu AKICHORWA Tatoo ya TAKO Chumbani kwangu
Naitwa John ni mfanyakazi wa chuo Kikuu cha Udom, nimeoa mwaka jana tu na mke wangu alikuwa ni mwanafunzi wangu, tulianza mahusiano akiwa hapa chuo mie nikiwa mwalimu wake na yeye akiwa mwanafunzi mwaka 2014.

Baada ya kumaliza niliamua kumuoa, lakn baada ya kumuoa kuna vijitabia fulani amekuwa akinionyesha ambavyo sivipendi sana, amekuwa akinidharau na kutoka bila hata kuniaga, hivi majuzi nilisafiri kikazi lakini nikapata dharura nikarudi nyumbani ghafla, nilichokikuta MUNGU ndio anajua “Nilimkuta Mwanaume Chumbani kwangu AKIMCHORA TATTOO KWENYE MATAKO” Nilishikwa na butwaa lakini yeye akaonyesha kutojali kitu na akaniambia niache ushamba, ameamua Kumleta Hapo nyumbani kwani ni Sehemu Salama Zaidi.

Nishaurini wadau, Nifanyeje maana Huyu Mwanamke Ataniua na Presha

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu ,,,,kupanga ni kuchagua
 
pole mkuu japo story ni kama ya kutunga flani ila hakuna mwanamke anayebaki salama mbele ya mchora tatoo rijali
 
Eti sehemu salama! Salama kwa mchoro au mgegedo?

Hana tena rinda huyo

Hii Simu Sio Ile, Hii Ni Hii
 
Nawe muite mchepuko akuchore tatoo kwenye dushe....itakuwa ngoma droo.

Delta Force
 
“Nimemkuta mke wangu AKICHORWA Tatoo ya TAKO Chumbani kwangu
Naitwa John ni mfanyakazi wa chuo Kikuu cha Udom, nimeoa mwaka jana tu na mke wangu alikuwa ni mwanafunzi wangu, tulianza mahusiano akiwa hapa chuo mie nikiwa mwalimu wake na yeye akiwa mwanafunzi mwaka 2014.

Baada ya kumaliza niliamua kumuoa, lakn baada ya kumuoa kuna vijitabia fulani amekuwa akinionyesha ambavyo sivipendi sana, amekuwa akinidharau na kutoka bila hata kuniaga, hivi majuzi nilisafiri kikazi lakini nikapata dharura nikarudi nyumbani ghafla, nilichokikuta MUNGU ndio anajua “Nilimkuta Mwanaume Chumbani kwangu AKIMCHORA TATTOO KWENYE MATAKO” Nilishikwa na butwaa lakini yeye akaonyesha kutojali kitu na akaniambia niache ushamba, ameamua Kumleta Hapo nyumbani kwani ni Sehemu Salama Zaidi.

Nishaurini wadau, Nifanyeje maana Huyu Mwanamke Ataniua na Presha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana mpk leo hujui cha kumfanya huyo kicheche wako? Wewe kidume ,jiongeze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwe na Mashaka Mkuu, mi namjua vizuri huyo Mchoraji....taarifa zake ni kuwa JOGOO wake hapandi MTUNGI...!!

Pia, nakushauri upunguze Wivu na Majazba, kijana wa watu yuko kazini, mke wako nae anakuheshimu sana, ndio maana kamleta huyo Shoga yake ndani kwako, how kama angamfuata OFISINI kwake....!!

Jibu unalo.....Angemtafutia mke wako BAASHA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmh!! Natamani ningekuwa napiga chabo jinsi ulivyokuwa unatoa mijicho, wife kaachia tako!!
Ulitakiwa ukague na kijaruba kama kipo salama ili ulete taarifa kamili .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom