Nmvua baba v uenyekiti wa chit chat !!!!hata kama wengi wenu mmekuwa vipofu!!

kwani Baba V ni Mwenyekiti wa mambo yote au ndoa tu?
 
Nivea nagombea nafasi ya kuratibu wageni naona wanakuja na nyodo mshtuo halafu Baba V ni wakati wa kuwa kama rais wa Misri umeshindwa kuwadhibiti wanaoingilia ndoa za wenzao
 
Last edited by a moderator:

uko sawa kabisa! Nampendekeza pia watu8 kwa nafasi ya mwenyekiti!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Haya mapinduzi si halali.. Apewe kwanza muda wa kujitetea. Pengine kuna neno la kutifaa.

Tumpe muda.
Nivea
 
Last edited by a moderator:
Nivea umetumwa na nani?. Umepata wapi mamlaka ya kumvua uongozi kiongozi aliyechaguliwa na wajumbe?

Unachopaswa kufanya ni kushawishi Wajumbe tupige kura ya kutokuwa na Imani na Mwenyekiti (Kumbuka si lazima wote tukubali). Jukwaa linafata utawala wa Sheria.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…