Nmvua baba v uenyekiti wa chit chat !!!!hata kama wengi wenu mmekuwa vipofu!!

mimi nilikuwa makamu mwenyekiti wa baba v, kwa hiyo kama mnamuondoa baba v...automatikale na mimi inabidi nijivue gamba kupisha wengine
kha best ntakufuta kwenye list unaniangusha hata jeshi la misri lilikuwa pia linampenda yule raisi aliyepinduliwa ila linapokuja swala la mapinduzi wewe ndio unashika kiti kile.
 
huu uchaguzi ni feki.
baba v ni kiongozi aliyepewa mamlaka kwa taratibu zilikubalika.
tulia Mzee ndio tushapindua bord ya cc tulia Baba V tunaye hapa
ni mijeledi tu anachezea na kama hutambui ndio hutamwona tena akiwa menyekiti wa ccb
 
Last edited by a moderator:
Hizi dhana ndio zinaiweka CCM mpaka leo madarakani unanijua mimi ni nani kwenye CCB ???? unanijua mimi sio mjumbe wa kawaida Mzee tulia kama hukubali basi baba v tumempindua na utakubali uongozi mpya
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
nashukuru Himidini angalau umenifikiria kwenye huu uongozi wa cc, naunga mikono na miguu hoja iliyotolewa na Nivea.
Mwenyekiti apewe mkeka apumzike.... Ili tupate mwenyekiti mpya!!!!
sema sasa unamkubali nani watu8 ??????????
 
Last edited by a moderator:
Sasa hivi ni zamu yenu kina mama pia kuongoza...

kha best ntakufuta kwenye list unaniangusha hata jeshi la misri lilikuwa pia linampenda yule raisi aliyepinduliwa ila linapokuja swala la mapinduzi wewe ndio unashika kiti kile.
 
Nivea ulilolianzisha utaliweza lakini..? Muulize manoah alijaribu kumpindua Baba V.. Kilichomtokea hana hamu.. Najua Baba V siku hizi ana matatizo sana na hafuatilii majukumu yake ila huyu jamaa sijui ni mkinga maana lol..
 
Last edited by a moderator:
tutaishia kusutana ushasahau yaliojiri leo asubuhi???nononono
angalizo
nafasi ya uenyekiti ni kwa wanaume tu tena akaguliwe urijali na Asprini au babu Dark City
Toba yarabi,yaani Nivea unahimiza wanaume wakaguane wao kwa kwao? lahaula lakwat!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah haya basi ngoja mie nikae kando...mkishamaliza mapinduzi mie ntakuja kushuhudia mnavyoshangilia...

tutaishia kusutana ushasahau yaliojiri leo asubuhi???nononono
angalizo
nafasi ya uenyekiti ni kwa wanaume tu tena akaguliwe urijali na Asprini au babu Dark City
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…