chit chat ifutwe
Chit chat ifutwe
Heaven on earth Umeona kilichomtokea Mors??!. Utaratibu wa kupinduana si mzuri.
Shem Nivea unaongoza mapinduzi kwa kutumia kikosi cha msituni.
Nimeku MRS.....!
Marekebisho: Hapo kwa mweka hazina itabidi tumuweke Mrs Bishanga ili azoee hela kwa maana Bishanga wake
amekaa naye miaka yote ila mpaka sasa mkewe hajazoea kushika minoti.
Hilo ni pendekezo tu, ila sijakupinga Nivea ila tumsaidie huyu kiumbe aweze kuzoea noti noti.
Yaani KOKUTONA mpaka naumwa aise yaani pokea nanihino ya nguvu
Lady doctor una yako na wewe
Huyo Arushaone na Erickb52 wanakagukiwa mwaka mzima huo ukaguzi gani
Wasaalam
Habari za madakika wana cc najua wengine mnapumulia mashine kwa upepo mchafu uliopita muda sio mrefu!!
mimi kama mwana CC nasikitishwa na utendaji kazi wa mwenyekiti ,huyu Baba V ameshindwa kutoa kauli kuhusu kimbunga na upepo uliopita cc uliopelekea watu kadhaa kufa na wenguine kujeruhiwa mioyo sasa basi kulingana na katiba ya CC na madaraka tuliyomkabidhi na akadiriki kuwa kimya mpaka sasa nafikiri huyu mwenyekiti hatufai kabisa ni sawa na baba aliyesikia mwiziiiiiiii akakimbilia darini nakuiacha familia chini !!!sasa basi mimi binafsi na nafsi yangu namvua huyu mwenyekiti wa cc na simtambui tena
cc Baba V
TUPENDEKEZE NA TUPIGE KURA KUPATA MWENYEKITI MPYA
Watakao endelea kumkubali hao ni wale walioohonga kupata KE /ME
sintakawia kumrepot abuse mtu akileta zilipendwa hapa -strictly prohibited
NAWASILISHA