No body cares: Watu tupo bize mtandaoni, tume-lose touch na human connection

Mimi naona ifike pahala tukubaliane tu na hali halisi kwamba dunia imeshabadilika, kushindwa kukubali nako kunafanya mtu azidi kujiongezea stress tu, hakuna namna hapa ndipo dunia ilipofikia and there is nothing we can do about it
Hii mindset mkuu ndo ambayo watu wengi tumejiwekea, na ni kweli lazima tukubaliane na hali, ila isiwe kigezo cha kushindwa kubadilisha mambo. Mambo si mpka yabadilishwe na watu wengi, inaanza na mtu mmja. Wewe Leo ukianza kubadilisha lifestyle yako na kuhakikishia asilimia 80 ya wanaokuzunguka wataanza kubadilika. Trust me we can change.
 
Ningekanyoosha kanyooke nyoki, watoto tunawaharibu wenyewe wanakosea hatuwaelekezi kipi ni sahihi na kipi si sahihi. Wao kwa umri wao hawayatambui hayo na wa kufanya watambue hayo ni sisi wakubwa kwa kuwapa miongozo kimalezi tangu wakiwa wadogo, ni rahisi kuelekezeka kwa sasa kuliko wakikua.

Kuna wale wazazi wanawalea watoto kwa kuwaonea huruma wanashindwa hata kuwafokea, kuwaadhibu wanapokosea mwisho wa siku anakuwa na tabia za hovyo inakua mzigo hadi kwenye jamii.
Nawapenda sana watoto

NB: SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI.
Nakazia 💯
 
Bahati mbaya sana huwezi rudisha nyakati nyuma, hizi ndo zama tunazoishi.

2024 huwezi ishi kama 1990's
Hakika, zama zimebadilika ila sioni haja yakukubaliana na hii dhana eti zama zimebadilika, kwa hio tukubali hatuwezi kuishi maisha yaliyo bora kwa afya ya akili, mwili na roho kisa zama zimebadilika?
 
Ili uishi yaliyobora kwa mujibu wa andiko lako inabidi kuachana na huu mfumo wa sasa.

Labda kama unaweza eleza nini kifanyike
 
JKN aliwahi kusema, mzungu atakuopngia kila kitu, hadi bei ya korosho unazolima wewe kwa jasho lako atapanga yeye na huna la kumfanya.

Mzungu ndio huamua dunia iendeje, huna la kumfanya wala huwezi kuibadilisha hali.
 
Mimi naona ifike pahala tukubaliane tu na hali halisi kwamba dunia imeshabadilika, kushindwa kukubali nako kunafanya mtu azidi kujiongezea stress tu, hakuna namna hapa ndipo dunia ilipofikia and there is nothing we can do about it
Exactly wewe ndio type ya watu ili andiko lina wahusu. Ulimwenguni hapa sisi kama wanadamu tunajukumu la kujenga mifumo itayofanya maisha yawe salama kwa kila mtu. Hii tabia ya kusema "there's nothing we can do about it" ni tabia ya wavivu na watu irresponsible.

Take action, work with others , you are not alone.
 
Ningekanyoosha kanyooke nyoki, watoto tunawaharibu wenyewe wanakosea hatuwaelekezi kipi ni sahihi na kipi si sahihi. Wao kwa umri wao hawayatambui hayo na wa kufanya watambue hayo ni sisi wakubwa kwa kuwapa miongozo kimalezi tangu wakiwa wadogo, ni rahisi kuelekezeka kwa sasa kuliko wakikua.

Kuna wale wazazi wanawalea watoto kwa kuwaonea huruma wanashindwa hata kuwafokea, kuwaadhibu wanapokosea mwisho wa siku anakuwa na tabia za hovyo inakua mzigo hadi kwenye jamii.
Nawapenda sana watoto

NB: SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI.
Kongole mkuu. Safi sana. :ClapHD:
 
Ili uishi yaliyobora kwa mujibu wa andiko lako inabidi kuachana na huu mfumo wa sasa.

Labda kama unaweza eleza nini kifanyike
Sidhan kama kuna haja ya kufafanua zaid, wote tunajua tatizo lilipo kutokana na mfumo wa maisha tulionao, hasa hasa ni kujaribu kutumia weledi na maarifa katika kufanya maamuzi yaliobora. Sidhani kama Technology ni kitu kibaya, ni jinsi tunavyo itumia...
 
kuna watoto wengine ni kina Junior, ukimpa maelekezo tena kwa staha huku kama unacheza nae mzazi wake hataki.anakua mkali mpaka unashangaa.

mwisho wa siku mtoto anakua shoga au madawa ya kulevya mzazi anapoteza mtoto kwa malezi ya kijinga.
Majina hayo ya namna hiyo yanaweza kukupa picha ya akili ya mzazi na tabia ya mtoto. Ukisikia mtoto anaitwa Brian, Brianna, Taylor, Junior , Adrian, Adriana, Keylin, Jayden , Precious, Florence, Faydhan, Jaanat, Farahan, yaani ukiona tu mtoto kapewa majina ya kizungu na kituruki, basi jua hapo mzazi utimamu wake juu ya malezi ya mtoto utilie mashaka sana.
 
JKN aliwahi kusema, mzungu atakuopngia kila kitu, hadi bei ya korosho unazolima wewe kwa jasho lako atapanga yeye na huna la kumfanya.

Mzungu ndio huamua dunia iendeje, huna la kumfanya wala huwezi kuibadilisha hali.
We mbona dhaifu sana, unakuwa dhaifu na mlaini kama utumbo wa mbuzi?

Hebu kaza misuri hiyo mtoto wa kiume, acha kujilegeza hapo, mzungu ndio nini.
 
Bahati mbaya sana huwezi rudisha nyakati nyuma, hizi ndo zama tunazoishi.

2024 huwezi ishi kama 1990's
Ni kweli lakini unachuja yale madhaifu yaliyokuwepo 1990's i.e. unaboresha hali na unajitahidi kuendeleza mazuri unayojifunza ya 2024 na kuepuka upotofu wa 2024 yan hukumbatii kila unalokutana nalo 2024 simply kwa kuwa eti huwezi rudisha nyakati nyuma, hizi ndoo zama tunazoishi. Kama ingekuwa hivo, basi tusingelipigia kelele ushoga, tusingeliwapigia kelele vijana kwa mtindo wa maisha wanayoenda nayo e.g.uvivu, kubwia unga, kushinda kutwa vijiweni n.k.:Cheergi:
 
We mbona dhaifu sana, unakuwa dhaifu na mlaini kama utumbo wa mbuzi?

Hebu kaza misuri hiyo mtoto wa kiume, acha kujilegeza hapo, mzungu ndio nini.
Tatizo unatumia hisia na sio akili. Kila kinachokuzunguka hapo kimeamuliwa na mzungu. Kuna mambo hayataki kukaza msuri/msuli, yanataka akili mzee. Tupa kila kilicho cha mzungu uone lifestyle utakayoishi.
 
Back
Top Bottom