Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww unakula mabinti wa kazi nyumbani kwako inamaana hukupewa malezi mazuri jirani??Ningekanyoosha kanyooke nyoki, watoto tunawaharibu wenyewe wanakosea hatuwaelekezi kipi ni sahihi na kipi si sahihi. Wao kwa umri wao hawayatambui hayo na wa kufanya watambue hayo ni sisi wakubwa kwa kuwapa miongozo kimalezi tangu wakiwa wadogo, ni rahisi kuelekezeka kwa sasa kuliko wakikua.
Kuna wale wazazi wanawalea watoto kwa kuwaonea huruma wanashindwa hata kuwafokea, kuwaadhibu wanapokosea mwisho wa siku anakuwa na tabia za hovyo inakua mzigo hadi kwenye jamii.
Nawapenda sana watoto
NB: SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI.
Kweli mkuu Dunia imebadilika na tuende nayo lakini je kwenye hizi technologies kama simu vijana wanazitumia kama wengine wanavyoweka vitu vya kujiendeleza kwa biashara ila vijana wetu kutwa mambo ya kijinga tuMimi naona ifike pahala tukubaliane tu na hali halisi kwamba dunia imeshabadilika, kushindwa kukubali nako kunafanya mtu azidi kujiongezea stress tu, hakuna namna hapa ndipo dunia ilipofikia and there is nothing we can do about it
Hapana kula beki tatu mimi, nna malezi bora ya kuigwa na kurithisha kwa kizazi changu na jamii kwa ujumla.Ww unakula mabinti wa kazi nyumbani kwako inamaana hukupewa malezi mazuri jirani??
Muongo 🤣🤣🤣Hapana kula beki tatu mimi, nna malezi bora ya kuigwa na kurithisha kwa kizazi changu na jamii kwa ujumla.
Na bado. Ubize huo umetupeleka hata kuwasahau wazee wetu (ambao hawakubahatika kutumia simu hizi za viganjani) kwamba wanahitaji uangalizi wa karibu, kuwatembelea na kuwasalimia, kuwasaidia kila inapowezekana, kuongea nao na kuwachangamsha ili watutemee mate a.k.a. Watubariki lakini badala yake tunawatelekeza kama ilivyo kwa wenzetu, na mwisho itakuwa ni kuwahamishia nyumba za wazee wakatunzwe huko na mtu atakayelipwa mshahara kitu ambacho ni sawa na kusema watajijua wenyeweeeeeee.Yan hata misibani kila mtu busy na simu Mfiwa hafarijiwi tena kama zamani..... Atajijua mwenyeweeee
Huzuni kuuu

Huyo jamaa kakusingizia au ni kutokana na ujirani wenu mmekuwa na utani?Hapana kula beki tatu mimi, nna malezi bora ya kuigwa na kurithisha kwa kizazi changu na jamii kwa ujumla.
Ni kweli kabisa....Na bado. Ubize huo umetupeleka hata kuwasahau wazee wetu (ambao hawakubahatika kutumia simu hizi za viganjani) kwamba wanahitaji uangalizi wa karibu, kuwatembelea na kuwasalimia, kuwasaidia kila inapowezekana, kuongea nao na kuwachangamsha ili watutemee mate a.k.a. Watubariki lakini badala yake tunawatelekeza kama ilivyo kwa wenzetu, na mwisho itakuwa ni kuwahamishia nyumba za wazee wakatunzwe huko na mtu atakayelipwa mshahara kitu ambacho ni sawa na kusema watajijua wenyeweeeeeee.
Tunakosa baraka za wazee waliotuleta hapa duniani na tunapata laana halafu tunaanza kulia-lia eti maisha ni magumu tunaomba misaada mitandaoni eti msaada tutani.![]()
Mtoto anaharibika kwa sababu mzazi/mlezi anazembea kimalezi tangu akiwa mdogo, baadae likishakuwa tatizo sio rahisi kurekebishika.YES exactly. Wapo wanaoridhika eti bora mtoto halafu kesho mtoto anaharibika na mzazi huyo huyo utamsikia "Oh! yan, Toto gani hili? ni afadhali hata nisingelizaa litoto hili."![]()
Huyo ni jirani yangu ananisingizia tu kwanza sina beki tatu.Huyo jamaa kakusingizia au ni kutokana na ujirani wenu mmekuwa na utani?
Inashangaza kweli kweli yan hata afya zetu tumeziweka rehani.Ni kweli kabisa....
Zama zimebadilika Mkuu, saizi kila mtu yupo busy na simu yake, yan bora asile lakini aweke bundle aingie IG
Jirani utanifanya nikafungwe na wenye haki za dada wa kazi za ndani 😅Muongo 🤣🤣🤣
Facts💯💯Na bado. Ubize huo umetupeleka hata kuwasahau wazee wetu (ambao hawakubahatika kutumia simu hizi za viganjani) kwamba wanahitaji uangalizi wa karibu, kuwatembelea na kuwasalimia, kuwasaidia kila inapowezekana, kuongea nao na kuwachangamsha ili watutemee mate a.k.a. Watubariki lakini badala yake tunawatelekeza kama ilivyo kwa wenzetu, na mwisho itakuwa ni kuwahamishia nyumba za wazee wakatunzwe huko na mtu atakayelipwa mshahara kitu ambacho ni sawa na kusema watajijua wenyeweeeeeee.
Tunakosa baraka za wazee waliotuleta hapa duniani na tunapata laana halafu tunaanza kulia-lia eti maisha ni magumu tunaomba misaada mitandaoni eti msaada tutani.![]()
OK; ni vizuri kuwa na ka-utani kidogo kwani utani unaondoa stress na wakati mwingine husawazisha mambo yakaenda sawa.Huyo ni jirani yangu ananisingizia tu kwanza sina beki tatu.
Jirani utanifanya nikafungwe na wenye haki za dada wa kazi za ndani 😅

Hakika mkuu utani kidogo sio vbaya.OK; ni vizuri kuwa na ka-utani kidogo kwani utani unaondoa stress na wakati mwingine husawazisha mambo yakaenda sawa.
Yap! na wakati mwingine utani humfungua (anafunguka) mtu i.e. anaweza kukuambia hata kitu ambacho hakuwa amepanga kukuambia.Hakika mkuu utani kidogo sio vbaya.

Utani wenye mipakaYap! na wakati mwingine utani humfungua (anafunguka) mtu i.e. anaweza kukuambia hata kitu ambacho hakuwa amepanga kukuambia.![]()
AI, automation na robotics zipo kuchallenge technological development sema watu wana mentality ya ovyo kuzihusu. Kuna watu wamezitumia vzuri na kuna wengine ambao hawako aware na nini wafanye.Kila kizazi na challenges zake. Imagine vizazi viwili mbele AI, automation, robotics na Neuralinks zimeshika kasi. Unafikiri watu wataishi maisha gani?
Dunia ndiko inakoelekea na hakuna kitu utafanya!
I agree on everything you say maana mm ni muhanga screen, social gathering kwangu imekua nadra sana.Hayo ndo madhara ya artificial intelligence na social media. Ndo maana nawaasa vijana turudishe maisha natural... Salimiana na watu, nenda kwenye social gathering, jaribu kuminimize kuspend mda mwingi kwenye screen.