No body cares: Watu tupo bize mtandaoni, tume-lose touch na human connection

No body cares: Watu tupo bize mtandaoni, tume-lose touch na human connection

Tatizo unatumia hisia na sio akili. Kila kinachokuzunguka hapo kimeamuliwa na mzungu. Kuna mambo hayataki kukaza msuri/msuli, yanataka akili mzee. Tupa kila kilicho cha mzungu uone lifestyle utakayoishi.
Hajamaanisha uache au utupe kila kilicho cha mzungu. Hapana. anakushauri upambane pia wewe binafsi na Ukomalie kuzishinda mechi zako. Sio kweli kwamba kila kinachokuzunguka hapo kimeamuliwa na mzungu. Je, hivi ni kweli kwamba hata kumpata mwenza wako uliamuliwa na mzungu? Sidhani.:KEKBye:
 
Hivi hata wenzetu westerners wamekua hivi sio? Yaani imefika stage mtu simu ikizima chaji anapata stress isiyo na kipimo hata haongei na watu
Mkuu; wao wameenda mbali zaidi katika udhaifu huo. Wao ni kila mtu na lake hata ile salam tu ni shida sana sana kama anakujua basi atakupungia mkono; msiba unaweza kuwa next door lakini hakuna cha pole wala nn kila mtu na lake.
Ubinadamu unapungua kwa kasi ya 5G Simu ya kiganjani imekuwa ndo the best friend ever.:ANYGIFTERS:
 
Aisee
 
Ni kweli lakini unachuja yale madhaifu yaliyokuwepo 1990's i.e. unaboresha hali na unajitahidi kuendeleza mazuri unayojifunza ya 2024 na kuepuka upotofu wa 2024 yan hukumbatii kila unalokutana nalo 2024 simply kwa kuwa eti huwezi rudisha nyakati nyuma, hizi ndoo zama tunazoishi. Kama ingekuwa hivo, basi tusingelipigia kelele ushoga, tusingeliwapigia kelele vijana kwa mtindo wa maisha wanayoenda nayo e.g.uvivu, kubwia unga, kushinda kutwa vijiweni n.k.:Cheergi:
Exactly, umeongea kile wengi tunafikiria ila imekua ngumu ku put into words. 👏👏👏
 
Hivi hata wenzetu westerners wamekua hivi sio? Yaani imefika stage mtu simu ikizima chaji anapata stress isiyo na kipimo hata haongei na watu
Hili janga laikumba dunia nzima, ndo maana hata wazungu imewa affect pakubwa, social anxiety, depression, PSTD, na magonjwa mengi ya akili yanazidi kuenea.
 
Hajamaanisha uache au utupe kila kilicho cha mzungu. Hapana. anakushauri upambane pia wewe binafsi na Ukomalie kuzishinda mechi zako. Sio kweli kwamba kila kinachokuzunguka hapo kimeamuliwa na mzungu. Je, hivi ni kweli kwamba hata kumpata mwenza wako uliamuliwa na mzungu? Sidhani.:KEKBye:
Tunaongelea technology mkuu, advancement ya technology imetufikisha hapa na inaamuliwa na hao unaowakataa, na ndio inatulemaza kifikra, leo hata ukiwa na familia yako hata kama mpo wote kama huna gadgets zako karibu unajiona mpweke.

Usipingane na dunia ya sasa, tafuta means za kuishi bila utegemezi wa ukisasa tuone.
 
Katika hii generation, ambayo watu wapo bize mitandaoni tume loose touch na human connection. Hakuna health relationship na watu wa karibu.

Watu tumegeuka maroboti na mazombie. Hatuna mawazo chanya. Kutwa kuilaumu serikali, maisha magumu, sijui mmomonyoko wa maadili, kumbe wachawi ni sisi wenyewe.

Upweke umekithiri kwasababu, tumeruhusu Technology iweze kureplace maisha halisi. Tunajenga mahusiano na watu artificial mitandaoni, kujilinganisha na watu wasio level zetu. Hii imesababisha tuhisi kama hatuna thamani endapo tutashindwa kufikia level za hao waliopo Mitandaoni.

Sipo hapa kukosoa watu, bali kama tujuavyo vijana ndo nguzo ya taifa na kusema kweli kama kijana naona kabisa tuendako si pazuri
= healthy
 
Where's is negative impact of technology ...mkuu hilo halikwepeki,na tunapoelekea human relationship inaweza kufa kabisa maana watu tupo indirect kabisa.
Hayo ndo madhara ya artificial intelligence na social media. Ndo maana nawaasa vijana turudishe maisha natural... Salimiana na watu, nenda kwenye social gathering, jaribu kuminimize kuspend mda mwingi kwenye screen.
 
Tunaongelea technology mkuu, advancement ya technology imetufikisha hapa na inaamuliwa na hao unaowakataa, na ndio inatulemaza kifikra, leo hata ukiwa na familia yako hata kama mpo wote kama huna gadgets zako karibu unajiona mpweke.

Usipingane na dunia ya sasa, tafuta means za kuishi bila utegemezi wa ukisasa tuone.
Sijawakataa wazungu au kutumia teknolojia yao. Hapana. Nilichosisitiza ni kuitumia teknolojia yao kwa uangalifu na sio mtu uwe ni zoa-zoa wa kila kitu eti kwa sababu kimetoka kwa mzungu. Pia sio kwamba napingana na dunia ya sasa kitu ambacho ni sawa na kupiga ngumi ukutani. Nina maana chagua na kufanya maamuzi sahihi juu ya teknolojia zilizopo mbale yako ni kipi cha kuchukua na kipi uache au uepukane nacho.:Analyze:
Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom