No hate, no fear. Very good slogan lakini mbona jamaa wanaendelea kuonesha hate kali dhidi ya hayati?



Yaani watu wanasonga mbele wanazungumzia katiba wewe bado unaongelea watu ambao hatunao🤔 mbumbumbu
 
Ile kambale inatakiwa ifukuliwe kila mwezi ipigwe viboko 40
Wee mtoto, hii tabia na desturi mbaya namna hii nani kakufundisha. Kumbuka mheshimiwa raisi amesema huwa anapita humu Jf. Pia na mwenyekiti wako Mh. Mbowe naye huwa anapita humu kila siku.
 

Ni wapi inatakiwa umpende shetani?
 
Wee mtoto, hii tabia na desturi mbaya namna hii nani kakufundisha. Kumbuka mheshimiwa raisi amesema huwa anapita humu Jf. Pia na mwenyekiti wako Mh. Mbowe naye huwa anapita humu kila siku.

Who cares?
 
Magufuli aliwakomeshs na hawatamsahau.
Walimchukia na kumdharau yeye akapiga kazi kutumikia wanyonge na kulinda maslahi ya nchi. Kila kona 2020 wenye kwenda na hali halisi walijua kwa ule muzuki wa utendaji wa jpm chadema hawapati kitu. Wao wakachagua kumwamini ajenti wa mabeberu armsterdam eti kawaambia watamshinda magufuli tena kwa kura nyingi.
Hawakuamini kilichotokea. Uchaguzi magufuli akawatoa kapa. Badala ya kukubali ukweli wanaamini mzungu armsterdam yule shoga hawezi kua amekosea. Watu wenyewe wenye akili za aina ya kina lissu lema na mbowe🤣
Hadi leo wako kwenye lepe la usingizi wanadhani wao ndio chama kikuu cha upinzani. Time will tell
 
JPM atabakia kuwa ndiye kiongozi aliyewahi kupendwa saana na watu wa kati na daraja la mwisho!

Mafisadi na vilaza nyie endeleeni kutoa nyongo zenu tuone mwisho wenu!
Magufuli alikuwa anacheza na jukwaa. Akazima freedom of expression na kuvitisha vyombo vya habari visiandike habari asizopenda. Ni habari za kumsifu yeye na kuwaponda watangulizi wake ndiyo zilitawala

Alijuwa kuwa 90% ya Watanzania siyo werevu wa kuchambua uwongo wake. Akapandikiza uwongo ambao bado umejaa kwa Watanzania hadi leo.

He was nothing but a demon. How on earth do you have to say "Kwenye utawala wangu matajiri wataishi kama mashetani?

Ningemuelewa kama angesema "Maskini wataishi kama malaika"

I wish he could die again where he is
 
Unatakiwa kujua na kuamini utajiri unahusiana na umasikini. Unatakiwa kufahamu masikini katika utawala mbaya hana haki. Masikini atawezaje kuishi kama malaika wakati ufisadi unatawala. Na wewe ni mjinga tu na fisadi ndio maana ulimchukia magufuli na kukataa kumuelewa.
 
Hicho ndicho kilichomfanya magufuli afe mapema kindezi. Kwani kuna dhambi kuwa tajiri? Hizo ndiyo roho za kimaskini ambazo hatuzitaki tena nchini kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…