No hate, no fear. Very good slogan lakini mbona jamaa wanaendelea kuonesha hate kali dhidi ya hayati?


Hii nchi siyo yako ni yetu sote. Watanzania tuliozaliwa Tanzania tumeletwa na Mungu sio wanasiasa na hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kubadilisha ukweli kwamba Mtanzania ni Mtanzania bila kujali anaishi wapi. Hata Mandela aliishi Tanzania haina maana hakuwa mtu wa South Africa!. Wazungu waliishi Tanzania kwa miaka zaidi ya 50 lakini hawajawahi kuwa Watanzania au Watanganyika. Haunijui na mimi sikujui na wala hujui nafanya nini? wewe endelea kuwa Dr fake mitandaoni. Kama wewe ni mzalendo mbona ni mtu wa kulalama kila siku bila kutoa suluhisho. Lema na Lissu nao walikaa nje unataka kusema wewe ku fake mitandaoni ni bora kuliko Lissu ambaye kajitoa kimaisha kutetea haki. Tatizo kuwa la nchi yetu ni watu kama wewe ambao wanashinda kuangalia mapungufu kila siku na kutafuta kitu cha kulalamikia. Na kibaya ni kuona watanzania wengine wote wenye mawazo tofauti ni wabaya.

Mkishidwa hoja mnaaza kudanganya eti mimi nimekimbia wakati nilikuwa Tanzania miezi miwili iliyopita! endelea kutoa pumba zako sitaacha kukosoa. Hiyo style ya kufanya dispora wageni imeshashidwa tafuta nyingine. mimi sitaki kujua watu fake anyway

Nimekubatiza rasmi jina la Dr lalama
 
 
Hawa chadema ni kama ;
 
Hakuna amani kwa mwovu,hata Lucifer alipoasi kule mbinguni hakupewa nafasi ya kusamehewa. Huyo mtu wenu ni mwovu ndiyo maana yuko motoni
 
Ile ilikua shetani kuu, hata wachama chake hawaja msamehe.
Kama wameweza kusamehe ule uchafuzi(uchaguzi) kwa kuukubali na kuweza sasa kuchukua ruzuku zenye kutokana na ule uchafuzi basi pia wamsamehe kiujumla.
 
JPM atabakia kuwa ndiye kiongozi aliyewahi kupendwa saana na watu wa kati na daraja la mwisho!

Mafisadi na vilaza nyie endeleeni kutoa nyongo zenu tuone mwisho wenu!

Mtampenda nyinyi aloowalambisha asali sukuma gang & Co.
Sisi aliyetuulia watu wetu akatutia vilema, kutuvunjia nyumba zetu, kutuibia Mali zetu, atabaki kuwa Jambazi, Liuwaji katili. Wacha Liteseke kuzimu Kama alivyotutesa sisi. Likitembea na batalion nzima ya wanajeshi , likifiri halitokufa , kaondoka kiulaini kabisa kitandani. Let him Burn I H
 
Hakuna amani kwa mwovu,hata Lucifer alipoasi kule mbinguni hakupewa nafasi ya kusamehewa. Huyo mtu wenu ni mwovu ndiyo maana yuko motoni
Sasa mbona Mungu anataka tumuombe msamaha au unataka kusema Mungu huwa hasamehi madhambi yetu kwamba sisi wote ni kama Lucifer?
 
Sasa mbona Mungu anataka tumuombe msamaha au unataka kusema Mungu huwa hasamehi madhambi yetu kwamba sisi wote ni kama Lucifer?
Unajikanyaga tu. Huyo mtu wenu hakuwa na tofauti na Lucifer
 
Jamaa aliwafanya kitu Mbaya sana mkuu
Kama ubaya ule wa uchaguzi(uchafuzi) wameusamehe na kukubali kuchukua ruzuku zenye kutokana na uchafuzi basi pia wanaweza kusamehe na hayo mengine.
 
Kama ubaya ule wa uchaguzi(uchafuzi) wameusamehe na kukubali kuchukua ruzuku zenye kutokana na uchafuzi basi pia wanaweza kusamehe na hayo mengine.
Ulitaka waingie msituni mkuu?
 
Hivi kuna mtu humu ameonyesha chuki kuzidi za marehemu. Hata shetani alimpa salute
Marehemu anachukiwa hata kwa mambo ambayo watu hawana uhakika nayo, kiwango cha chuki za watu kwa Marehemu ni kikubwa kuzidi hayo mambo ambayo wanasema kayafanya.

Kuna watu wana chuki iliyopitiliza kwa huyo Magufuli hadi unajiuliza hawa watu wanachukia tu haya maovu ya Magufuli kama wengine au ni muhanga kabisa kwa namna moja ama nyengine?
 
Siyo hate! Ni fear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…