Hata wangetaka hakuna wanachadema wa kuingia msituni. Nachosema kama wamesamehe ule uchafuzi mkuu na kukubali kuchukua ruzuku zenye kutokana na uchaguzi haramu ikiwa ni matunda ya maridhiano basi haina haja ya kuendelea kuonyesha chuki kwa Magufuli.Ulitaka waingie msituni mkuu?
Wanachama wake wako milin 15, Chadema mpo mln 10,Vyama vingine wapo mln 6 kwa ujumla wao,tuliobaki wote zaid ya 35mln tulikuwa tunamkubali JPM.Ile ilikua shetani kuu, hata wachama chake hawaja msamehe.
Shetani alimkosea Mungu hivyo kama kusamehewa au kutokusamehewa hiyo ni juu ya Mungu, ila tuliyobaki wote tuna offer ya msamaha wa Mungu endapo tutamuomba msamaha.Shetani hastahili msamaha
Katika hayo yote wewe binafsi ulifanywa nini mkuu?Mtampenda nyinyi aloowalambisha asali sukuma gang & Co.
Sisi aliyetuulia watu wetu akatutia vilema, kutuvunjia nyumba zetu, kutuibia Mali zetu, atabaki kuwa Jambazi, Liuwaji katili. Wacha Liteseke kuzimu Kama alivyotutesa sisi. Likitembea na batalion nzima ya wanajeshi , likifiri halitokufa , kaondoka kiulaini kabisa kitandani. Let him Burn I H
Anachukiwa yeye ndio maana wapo wenye kumwita kuwa ni Lucifer, wapo wenye kusema azidi kuchomwa moto huko motoni, wapo waliyosema kama mnampenda nendeni mkazikwe nae kaburini,wapo wenye kumlaani n.kHawawezi kumchikia marehemu maana haisaidii, Bali wanachukia falsafa yake ambayo ili kueleweka lazima wamtaje yeye.
Ingekuwa anachukiwa yeye kwani hasira so zingepelekwa Kwa familia yake, michepuko yake iliyoenea nchi nzima na hata ndugu zake lakini mbona hakuna anayewasumbua?
Falsafa inachukiwa Kwa vile wapo ndorobo Bado wanayo na tunaishinao na tusipo kemea watarudia Matendo Yale nasi tuna SEMA huko ni NEVER AND NEVER AND NEVER AGAIN.
Magumashi alikuwa shetaniShetani alimkosea Mungu hivyo kama kusamehewa au kutokusamehewa hiyo ni juu ya Mungu, ila tuliyobaki wote tuna offer ya msamaha wa Mungu endapo tutamuomba msamaha.
Shetani kwa mtazamo upi? Maana wapo wenye kuamini Shetani ni yule aliyemuasi Mungu na hakuwa binaadamu ila wapo wenye kuamini shetani anaweza kuwa kiumbe yeyote mwenye kutenda maovu kwamba hata wewe kama ni zinifu au shirikina n.k unakuwa ni shetani.Magumashi alikuwa shetani
Wewe wasemaShetani kwa mtazamo upi? Maana wapo wenye kuamini Shetani ni yule aliyemuasi Mungu na hakuwa binaadamu ila wapo wenye kuamini shetani anaweza kuwa kiumbe yeyote mwenye kutenda maovu kwamba hata wewe kama ni zinifu au shirikina n.k unakuwa ni shetani.
Sasa huyo Magufuli aliyekufa alikuwa shetani yupi?
Ndio nasema kuna mitazamo aina mbili ya shetani sasa usijilopokee tu usiyoyajua.Wewe wasema
Huyo mtu wenu ni shetaniNdio nasema kuna mitazamo aina mbili ya shetani sasa usijilopokee tu usiyoyajua.
Ile kambale inatakiwa ifukuliwe kila mwezi ipigwe viboko 40
Mi mwenyewe ndugu yangu kabisa alipotea, Lakini kwa sabb mi nilikuwa namfahamu fika alikuwa ni fisadi na hakuwa na huruma na mali za watanzania, siumii walaah!Mtampenda nyinyi aloowalambisha asali sukuma gang & Co.
Sisi aliyetuulia watu wetu akatutia vilema, kutuvunjia nyumba zetu, kutuibia Mali zetu, atabaki kuwa Jambazi, Liuwaji katili. Wacha Liteseke kuzimu Kama alivyotutesa sisi. Likitembea na batalion nzima ya wanajeshi , likifiri halitokufa , kaondoka kiulaini kabisa kitandani. Let him Burn I H
Tangu lini ufisadi na form four failure ikawa ni akili?Alipendwa na wajinga tu
Ukiwa mjinga huwezi tambua kuwa ni mjinga mpaka usaisiwe kujitambua. Sukuma Gang bado hamjajitambua. Mtu wenu alikuwa fisadi papa na alikuwa na PhD feki.Tangu lini ufisadi na form four failure ikawa ni akili?
Kuna mabaya ya magufuli bado tanaumiza watu kisaikolojiaKwa sababu shetani bado anaendelea kufanya uadui wake hadi sasa ni tofauti na Magufuli.
Uzuri sijawahi kuajiriwa na Serikali wala mashirika yake hivyo suala la vyeti feki haliko applicable kwangu. Nyie umasikini na ushamba ndiyo unawasumbua kila tajiri mnamuona ni fisadi. Umasikini wenu haiwezi kwisha kwa kuwachukia matajiri. Pumbavu kabisa nyie washambaTangu lini mjinga akaukubali ujinga wake?
Mlipotimliwa serikalini ndo mlidhihirika kuwa nyinyi ni wajinga na mko hivyo! Pumbavu zenu majizi ya mitiahani na mafoji vyeti
Waliniweka ndani baada 5 months wakanitoa lakini mdogo wangu ametolewa si muda mrefuKatika hayo yote wewe binafsi ulifanywa nini mkuu?
Wewe ni mshamba,lofa(masikini) na mpumbavu huu ndiyo wasifu wako. Bwege weweHiyo haiwahusu wajinga kama wewe! Ikiwahusu nyinyi wapumbavu njoo na fimbo nipige, nguruwe pori wewe!