- Thread starter
- #61
Wanaoa na wanaoachika/achana ngoma droo rudi ufanye utafiti.Jf kila MTU hataki kuoa but on ground things are so different. Vijana wanaoa vizuri tu, and Ofcoz wanaosema usoe wao wameoa.
Za kuambiwa...
Ndoa za kileo ndo zao kubwa la MASINGO MAZA.