No offence, ila tunaoishi na wanawake form four na la saba, tunakula maisha sana

mleta mada umeuza ramani ya vita kwa adui. ungeuchuna tu.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
"Kwanza la saba na form four, ndani ya nyumba huwa hawaleti kujua, na hiyo sisi ndo wanaume hupenda... tunataka kuulizwa mambo..."
 
brother zama zimebadilika sana.. ukioa la saba na form four ni sawa na kujiongezea mizigo na majukumu .. mwanamke msomi ni asset ya familia na ni faida kwako na watoto wako, usomi wa mwanamke na tabia zake ni mambo yasiyoshabihiana japo wanawake wengi wameharibiwa na maadili ya mitaa na malezi ya familia walizotoka, si wanawake wote wasomi wana tabia za kiwaki.. mke wangu ana masters ila hajawahi kuniletea upororo michongo yangu mingi anasolve yeye kisomi zaidi.. baki na la saba/form four wako utakufa mapema tu mjuba.
 
yan hapo kukaa darin, maana yake bora uwe msukule kuliko kukaa na hao wanawake
 
Hii ni ukweli kabisanaunga mkono hoja kwa shilingi elfu 80
 
sasa la saba sio kujiongezea mzigo.... watu wengi wametoboa bila ya kwenda shule.. wewe uliyeenda shule unaweza msaidia mwenzio katika kile anachojua kukifanya kwa maendeleo ya familia akakifanya kwa ubora zaidi...
nimeshuhudia familia moja ina maendeleo mazuri na maduka kkoo huku mama akiyasimamia kikamilifu lakini nilipopata wasaa wa kuzungumza na huyo jamaa akaniweka wazi kua huyo mwanamke alikua mfanyakazi wa ndani wa familia yao na yeye alimpenda akamuoa. Wanaishi vizuri na pesa inaingia lakin mama hajaenda darasa lolote
 
brother nipo canada huku na sikutaka kuoa mwanamke mzigo maana nilikuwa na mishe za kunifanya kuishi huku kitambo.. so niliamua vyema kwa upande wangu maana nilipima mishe zangu na mtu nayetaka kuwa naye kama life partner .. hivyo kila mtu aishi na anavyoviamini.. mimi binafsi sipendi watu mizigo mwanamke yeyote ambaye hajasoma hata kuchepuka naye sitamani maana ni kujitengenezea mizigo tu huko mbele.. hao waliooa wasiosoma ni wote wana maisha mazuri na yenye amani kama alivyoandika mtoa uzi? somesheni watoto wenu wa kike maisha huko mbele yatakuwa magumu sana kuliko muyaonavyo leo..
 
haya maisha ni magumu kwa tamaa zetu tu na yataendelea kuwa magumu siku zote. Sio kwamba napinga wasisomeshwe au wasiende shule.. hapa nakataa hiyo kauli ya kuwa mzigo, changamoto unazozivumilia wewe kwa mkeo kuna mtu angeshindwa kabisa na zile ambazo wewe unaziona kwa hao ambao labda hawakupata nafasi ya shule kuna mtu atazimudu vizuri mno.. ninachopinga ni wewe kuwaita mizigo
tanzania yetu unaijua, bado tupo kwenye kujenga madarasa so wasio na elimu pia ni watu.
Lakini kwa tz hawa feminist ni kero mno, maadili yetu ki africa ni mwanamke kuwa chini ya mwanaume... mimi kwangu nikishagundua tu mwanamke anajilinganisha na mimi kwa namna yeyote ile basi ni kumuweka chini na kumueleza wazi ni anakua chini au anaenda,, sihitaji aliye sawa na mimi au anayetaka kuwa juu yangu... silei matatizo
 
Kwa uzoefu wangu ninayoyaona kwenye jamii wanawake wasomi waliopo 45+ hivi wana nafuhu hawa kipindi wanasoma hizi itikadi za feminism zilikua bado hazijaingia bongo ila hawa wa 20-30+ ni kisanga
Naam, wasomi waliosoma Zamani kipindi simu hazijaingia mwendo wa barua tu ila hawa wa sasa sijawahi shuhudia mwenye unafuu labda kama wapo
 
Naam Mkuu Ukichukua Asilimia 80 ya watu humu JF Mama zetu waliishia hilo la 7 au la 4 la mkoloni na wengi ni housewife tu lakini ndoa zimedumu sana
 


Hili ni povu la klee soft
 
mnazunguka tu lakini ukweli hatuna fedha za kukabiliana na maisha wanayoyataka
wengi wanapenda maisha ya thamthilia na hawapendi shida wanataka wawe kama wanasesere tena sio wa nguo au plastic bali glass
wanajua bata na bata wanawajua wao gari si swala la kujadili ni sawa na nyumba kuwa na jiko la mchina hivyo mwanaume angalau uweke mafuta ya 20,000 kwa siku.
 
Usiombe uchumi uyumbe ukiwa na ndoa na hao wanawake degree holder, chamoto utakipata
 
Nimekupenda bureee...
 
Dahhh,unaandika kaa hisia sana ndugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…