No Reform No Election ni Mpango wa Mungu kuiponya Tanzania. Anayeuliza itafanikiwaje? Muoneshe Picha hizi!

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Kikundi kinachofanya siasa za kitapeli wakiungana na mabwana zao CCM wanajaribu kuwakebehi CHADEMA eti watafanikishaje No Reform No Election?

Wasichojua hakika ni kwamba, No Reform No Election sasaivi si tena ajenda ya CCM bali ni ajenda ya Watanzania baada ya Mungu kuamua kuiponya Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli na kihuni ambazo zimewafanya Watanzania kuendelea kuwa masikini wa kutisha kila siku.

Kama mtu anakebehi ajenda hii kwa kujifanya anauliza Mtazuiaje Uchaguzi? Mjibu kwa kumuonesha picha hizi hapa chini👇
20250406_075805.jpg
20250406_075814.jpg

Kama hajazielewa picha hizi achana nae.

Naendelea kusubiri Waraka wa Pasaka kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.

Lazima nchi yetu ipone mwaka huu ugonjwa wa siasa za kitapeli na kizandiki!

Mungu ibariki Tanzania.
 
Kikundi kinachofanya siasa za kitapeli wakiungana na mabwana zao CCM wanajaribu kuwakebehi CHADEMA eti watafanikishaje No Reform No Election?

Wasichojua hakika ni kwamba, No Reform No Election sasaivi si tena ajenda ya CCM bali ni ajenda ya Watanzania baada ya Mungu kuamua kuiponya Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli na kuhuni ambazo zimewafanya Watanzania kuendelea kuwa masikini wa kutisha kila siku.

Kama mtu anakebehi ajenda hii kwa kujifanya anauliza Mtazuiaje Uchaguzi? Mjibu kwa kumuonesha picha hizi hapa chini👇
View attachment 3294611View attachment 3294612

Kama hajazielewa picha hizi achana nae.

Naendelea kusubiri Waraka wa Pasaka kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.

Lazima nchi yetu ipone mwaka huu ugonjwa wa siasa za kitapeli na kizandiki!

Mungu ibariki Tanzania.
Hapo miaka ya katikati ulikuwa team Mama anaupiga mwingi
Umehama tena?
 
Kabla ya 2021 kweli ulikuwa upande huo wa haki.
Hekaheka zako za kusapoti kumshtaki Rais sijui mahakama ya wapi huko.

Baadaye ukaanza kusema mama anaupiga mwingi😂
Samia nilimuunga mkono hadi pale alipokengeuka na kuweka kando Constitutional Reforms na kuacha vitendo vya utekaji na mauaji kuendelea.

It's simple nisimamia upande wa haki na utawala bora siku zote.
 
Huyo Mungu wenu hana akili

Na kama unaona anazo, basi tambua haya yote anayafanya yeye.

Eti huu ugonjwa wa siasa za kitapeli na kizandiki!

Kama sio mungu wenu huyo huyo aliyeleta magonjwa siasa za kitapeli na kizandiki ni nani tena? Hata huyo shetani ametoka huko huko kwa Mungu.

Nasema, msianze kumkufuru Mungu na Dikteta wenu huyo Tundu.
 
Hapo miaka ya katikati ulikuwa team Mama anaupiga mwingi
Umehama tena?
Mama mwanzoni alipokuja na 4R tukajua kuwa huenda anania njema tulimpongeza sana kakini alipoupora uchaguzi wa serikali za mitaa akishirikiana na Mkwe wake hapo tukaona sio mtu wa KUAMINIWA.
 
Huyo Mungu wenu hana akili

Na kama unaona anazo, basi tambua haya yote anayafanya yeye.

Eti huu ugonjwa wa siasa za kitapeli na kizandiki!

Kama sio mungu wenu huyo huyo aliyeleta magonjwa siasa za kitapeli na kizandiki ni nani tena? Hata huyo shetani ametoka huko huko kwa Mungu.

Nasema, msianze kumkufuru Mungu na Dikteta wenu huyo Tundu.
kama umediliki kuandika kabisa Mungu wetu hana akili amini nakwambia mwaka huu hauishi, Mungu wetu aliye hai, Mungu wa Israel anaenda kukuonesha kuwa yeye ndo mwenye enzi yote muweza wa yote.

Mark this comment! No Reform No Election inaenda kufanikiwa ukiwa unaona mwaka huu.
 
Mama mwanzoni alipokuja na 4R tukajua kuwa huenda anania njema tulimpongeza sana kakini alipoupora uchaguzi wa serikali za mitaa akishirikiana na Mkwe wake hapo tukaona sio mtu wa KUAMINIWA.
Alitupa matumaini sana mwanzoni. Ila baada ya Wahafidhina wa Chama Chake kumrudisha kwenye ujinga hakuna namna inabidi tusimuunge mkono tusimame upande wa Taifa.
 
Mimi Huwa nashangaa dini ile huwa ina hubiri "HAKI" Lakini ikifika kipindi cha Uchaguzi inapwaya... Huwa sielewi wanahubiri haki ipi!!????? Bila shaka bado kuna unafiki mwingi sanaa..
 
Kikundi kinachofanya siasa za kitapeli wakiungana na mabwana zao CCM wanajaribu kuwakebehi CHADEMA eti watafanikishaje No Reform No Election?

Wasichojua hakika ni kwamba, No Reform No Election sasaivi si tena ajenda ya CCM bali ni ajenda ya Watanzania baada ya Mungu kuamua kuiponya Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli na kihuni ambazo zimewafanya Watanzania kuendelea kuwa masikini wa kutisha kila siku.

Kama mtu anakebehi ajenda hii kwa kujifanya anauliza Mtazuiaje Uchaguzi? Mjibu kwa kumuonesha picha hizi hapa chini👇
View attachment 3294611View attachment 3294612

Kama hajazielewa picha hizi achana nae.

Naendelea kusubiri Waraka wa Pasaka kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.

Lazima nchi yetu ipone mwaka huu ugonjwa wa siasa za kitapeli na kizandiki!

Mungu ibariki Tanzania.
Hakika fisiem nayo itoke sasa dah muda wote uo inatosha sasa asee.
 
Kabla ya 2021 kweli ulikuwa upande huo wa haki.
Hekaheka zako za kusapoti kumshtaki Rais sijui mahakama ya wapi huko.

Baadaye ukaanza kusema mama anaupiga mwingi😂
Huyo ndiyo wale malaya wa kisiasa alio tuambia nyerere.
 
kama umediliki kuandika kabisa Mungu wetu hana akili amini nakwambia mwaka huu hauishi, Mungu wetu aliye hai, Mungu wa Israel anaenda kukuonesha kuwa yeye ndo mwenye enzi yote muweza wa yote.

Mark this comment! No Reform No Election inaenda kufanikiwa ukiwa unaona mwaka huu.
Ajabu utakuja kusema mmeshindwa uchaguzi kwa sababu ya Sheria za Uchaguzi haziwapendelei.

Mtakuja na vijisababu vyenu visivyo na vichwa wala mikono miguu n.k wakati mlitakiwa muwe mnanadi na kuuza sera. Nasikia hamna.

Sasa waulize Watanzania wanaenda kuichagua chadema kwa kupendezwa na sera gani walizonazo...

Wewe mwenyewe toka uanze kuandika nyuzi hapa ni sera gani za CHADEMA ushawahi kuzinadi, iwe ni Sera za Kijamii ama za Kiuchumi....ni Zeeeeeeeroooo

na kwa msingi huo, mbali na kura za huruma ambazo sidhani hata kama Watanzania watampatia tundu safari hii, hamna kura CHADEMA itapata kwa sababu yakwamba ina sera mbadala na za CCM
 
Wajinga wajinga kama nyie mliokua mnamsifia huyo mama yenu na kuchekelea kifo Cha shujaa wa nchi Bora kiendelee kuwalamba tu shenzi na mtaendelea kukiona Cha mtema Kuni dhidi ya utawala wa ccm
 
Back
Top Bottom