SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,853
- 8,252
James 1:26
2 timothy 3:12
Mathew 7:21-23
2 timothy 3:12
Mathew 7:21-23
Mama mwanzoni alipokuja na 4R tukajua kuwa huenda anania njema tulimpongeza sana kakini alipoupora uchaguzi wa serikali za mitaa akishirikiana na Mkwe wake hapo tukaona sio mtu wa KUAMINIWA.
Mama kaacha kuupiga mrefu?Samia nilimuunga mkono hadi pale alipokengeuka na kuweka kando Constitutional Reforms na kuacha vitendo vya utekaji na mauaji kuendelea.
It's simple nisimamia upande wa haki na utawala bora siku zote.
Approval rate yake kwa sasa haozidi 30 percent.katika kila Watanzania 10 ni watatu tu ndio wanamkubali.Mama kaacha kuupiga mrefu?
Maeneo mengi amefanya vibaya.Mama kaacha kuupiga mrefu?
Yote ni machaguo ya mtu hivyo usimpangie,nini cha kufanya hata mpox55 ak.k g55 wakileta za kuleta njia yeupee waende kwa aliye waajiri na anayewalipa posho zao.Hapo miaka ya katikati ulikuwa team Mama anaupiga mwingi
Umehama tena?
Samia nilimuunga mkono hadi pale alipokengeuka na kuweka kando Constitutional Reforms na kuacha vitendo vya utekaji na mauaji kuendelea.
It's simple nisimamia upande wa haki na utawala bora siku zote.
Hahaha......Mtawaua kwa presha wale jamaaKikundi kinachofanya siasa za kitapeli wakiungana na mabwana zao CCM wanajaribu kuwakebehi CHADEMA eti watafanikishaje No Reform No Election?
Wasichojua hakika ni kwamba, No Reform No Election sasaivi si tena ajenda ya CCM bali ni ajenda ya Watanzania baada ya Mungu kuamua kuiponya Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli na kihuni ambazo zimewafanya Watanzania kuendelea kuwa masikini wa kutisha kila siku.
Kama mtu anakebehi ajenda hii kwa kujifanya anauliza Mtazuiaje Uchaguzi? Mjibu kwa kumuonesha picha hizi hapa chini👇
View attachment 3294611View attachment 3294612
Kama hajazielewa picha hizi achana nae.
Naendelea kusubiri Waraka wa Pasaka kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.
Lazima nchi yetu ipone mwaka huu ugonjwa wa siasa za kitapeli na kizandiki!
Mungu ibariki Tanzania.
Maelezo mengi content zeroAjabu utakuja kusema mmeshindwa uchaguzi kwa sababu ya Sheria za Uchaguzi haziwapendelei.
Mtakuja na vijisababu vyenu visivyo na vichwa wala mikono miguu n.k wakati mlitakiwa muwe mnanadi na kuuza sera. Nasikia hamna.
Sasa waulize Watanzania wanaenda kuichagua chadema kwa kupendezwa na sera gani walizonazo...
Wewe mwenyewe toka uanze kuandika nyuzi hapa ni sera gani za CHADEMA ushawahi kuzinadi, iwe ni Sera za Kijamii ama za Kiuchumi....ni Zeeeeeeeroooo
na kwa msingi huo, mbali na kura za huruma ambazo sidhani hata kama Watanzania watampatia tundu safari hii, hamna kura CHADEMA itapata kwa sababu yakwamba ina sera mbadala na za CCM
😅😅😅Nani amesema Lissu ndo Mungu? Au umechanganyikiwa?
Wapi umesoma kwamba tumempangia machaguo?Yote ni machaguo ya mtu hivyo usimpangie,nini cha kufanya hata mpox55 ak.k g55 wakileta za kuleta njia yeupee waende kwa aliye waajiri na anayewalipa posho zao.
Maeneo mengi amefanya vibaya.
Na hawezi fanikiwa kuyaweka vizuri kama hatujafumua mfumo wetu wa kupata Viongozi na Watendaji kupitia Reforms za Katiba na Sheria za Uchaguzi
Approval rate yake kwa sasa haozidi 30 percent.katika kila Watanzania 10 ni watatu tu ndio wanamkubali.
Wanakijani wote wanademka kwa ngoma isiyo yao,sijui itakuwaje ngoma yao itakapolia,majibu zaidi wanayo wana kijaniWapi umesoma kwamba tumempangia machaguo?
Au wewe ndiye unayeleta Hilo?
Mimi sina chama,Wala sina ushabiki Kwa chama chochote kile.Wanakijani wote wanademka kwa ngoma isiyo yao,sijui itakuwaje ngoma yao itakapolia,majibu zaidi wanayo wana kijani
Alipoahidi kuanza mchakato wa Katiba. Haoa alifanya vizuri.Vitu gani mwanzo alifanya vizuri hadi mkasema anaupiga mwingi,na vitu gani sasa amefanya vibaya hadi kuhama team Mama?
Mchakato wa katiba aliahidi majuzi tu wakati mmeshaimba sana kuwa anaupiga mwingiAlipoahidi kuanza mchakato wa Katiba. Haoa alifanya vizuri.
Alipongengeuka shida ndo ikaanzia hapo
Siku ukiamuka umevirngishwa kwenye shuka ndo utajua Mungu uyu ambae ni wa wote ana akiliHuyo Mungu wenu hana akili
Na kama unaona anazo, basi tambua haya yote anayafanya yeye.
Eti huu ugonjwa wa siasa za kitapeli na kizandiki!
Kama sio mungu wenu huyo huyo aliyeleta magonjwa siasa za kitapeli na kizandiki ni nani tena? Hata huyo shetani ametoka huko huko kwa Mungu.
Nasema, msianze kumkufuru Mungu na Dikteta wenu huyo Tundu.
Kwa aliingia madarakani mwaka gani na aliahidi mwaka gani?Mchakato wa katiba aliahidi majuzi tu wakati mmeshaimba sana kuwa anaupiga mwingi
Kwan kuwaambia watu waandamane ndo haki???shaka