No Reforms No Election haizuiliki wala kushikika: Wananchi sasa wanasema wazi hawatopiga kura Oktoba 2025

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Muda huu Chombo cha Habari cha ITV wameripoti kuhusu Tume ya Uchaguzi kuwataka Watendaji kuzingatia Sheria.
FB_IMG_1752578646781.jpg

Kilichonifurahisha ni maoni ya Watanzania kwenye post hii. Angalia mwenyewe.
Screenshot_20250715_142541_Facebook.jpg
Screenshot_20250715_142446_Facebook.jpg
Screenshot_20250715_142707_Facebook.jpg
Screenshot_20250715_142633_Facebook.jpg

Watanzania tujipongeze sana. Lazima CCM watambue sisi sio mafala tena.

No Reform No Election ✊️ ✌️
 
Muda huu Chombo cha Habari cha ITV wameripoti kuhusu Tume ya Uchaguzi kuwataka Watendaji kuzingatia Sheria.
View attachment 3406726
Kilichonifurahisha ni maoni ya Watanzania kwenye post hii. Angalia mwenyewe.
View attachment 3406728View attachment 3406729View attachment 3406730View attachment 3406731

Nimesoma takribani comment 15ml na hao ni wanachadema. Yaani unataka serikali au chama flani kikufanyie wewe marekebisho ya kisheria wakati hapo hapo umekosa wawakilishi wa kushiriki kutengeneza sheria.. YAANI MAKAMANDA NAONA KAMA VILE AKILI ZIMETURUKA.
 
Kura zingekuwa zinapigwa kwenye mitandao ya kijamii Peter Obi angekuwa Rais wa Nigeria badala ya Tinubu.

Chama ni wanachama, uchaguzi ni namba, wasio na vyama wanaposusa kupiga kura ni wazi chama chenye wanachama wengi kitashinda kwa kishindo.

Strategy ya kutokupiga kura kwenye uchaguzi ambao idadi ya waliopiga kura ndiyo inaamua ni kuwahadaa wananchi wanaoamini kila anachosema wanaemkubali ni sahihi
 
Tanzania tumejaliwa watu makini kama wewe hapa ndugu. Mtu anasema ashiriki uchaguzi ila wengine wanashiriki na mshindi upimwa kwa kura alizopigiwa nasio waliojiandikisha kupiga kura.
 
Tunaelekea pazuri, hii elimu ya NRNE hakika imepenya kwa jamii kubwa ya Watanzania.
 
Nawajua wafanyakazi wa Tume toka 2000 mpaka leo bado wapo hapo Tume najiuliza hizo nafasi zao zilitangazwa lini? Ni mjinga tu ataenda kupiga kura ujinga huu.
 
Ni utaahira mkubwa sana kupoteza muda kwenda kupiga kura kwani INEC imeagizwa kuwatangaza wagombea wote wa CCM kuwa wameshinda kwa 99%.
 
Muda huu Chombo cha Habari cha ITV wameripoti kuhusu Tume ya Uchaguzi kuwataka Watendaji kuzingatia Sheria.
View attachment 3406726
Kilichonifurahisha ni maoni ya Watanzania kwenye post hii. Angalia mwenyewe.
View attachment 3406728View attachment 3406729View attachment 3406730View attachment 3406731

Watanzania tujipongeze sana. Lazima CCM watambue sisi sio mafala tena.

No Reform No Election ✊️ ✌️
UJINGA LAZIMA UFIKE MWISHO,TUMEVUMILIA KWA MIAKA 30 INATOSHA SASA.NO REFORMS NO ELECTION NDIO DAWA PEKEE MENGINE NI UONGO.
 
Muda huu Chombo cha Habari cha ITV wameripoti kuhusu Tume ya Uchaguzi kuwataka Watendaji kuzingatia Sheria.
View attachment 3406726
Kilichonifurahisha ni maoni ya Watanzania kwenye post hii. Angalia mwenyewe.
View attachment 3406728View attachment 3406729View attachment 3406730View attachment 3406731

Watanzania tujipongeze sana. Lazima CCM watambue sisi sio mafala tena.

No Reform No Election ✊️ ✌️
Safi sana Watanganyika.Moderator;Tunaomba Poll thread tuonyeshe nguvu ya No Reforms No Elections dhidi ya wanaojidanganya kutick au Kulinda wasichonacho.
 
Watakaopiga wapimwenAkil huenda bado tuna specie zaidi ya Homosapiensis tized
 
Mimi nitapiga kura kama nitakuwa hai uchaguzi mkuu 2030 na siyo 2025.
 
Strategy ya kutokupiga kura kwenye uchaguzi ambao idadi ya waliopiga kura ndiyo inaamua ni kuwahadaa wananchi wanaoamini kila anachosema wanaemkubali ni sahihi
Kama kawaida yenu, (au niseme ya baadhi yetu); ni kuchukulia kuwa ni "kususia uchaguzi"; wakati Kampeni inaeleza wazi ni KUZUIA UCHAGUZI,...; shauku kubwa mliyo nayo ni kutaka kujuwa njia, ambaazo siyo lazima mzijue nyinyi kwa wakati huu.
Tanzania tumejaliwa watu makini kama wewe hapa ndugu. Mtu anasema ashiriki uchaguzi ila wengine wanashiriki na mshindi upimwa kwa kura alizopigiwa nasio waliojiandikisha kupiga kura.
G55, mkuu'Bishweko', ndio tumaini letu, usitie shaka!
 
Nimesoma takribani comment 15ml na hao ni wanachadema. Yaani unataka serikali au chama flani kikufanyie wewe marekebisho ya kisheria wakati hapo hapo umekosa wawakilishi wa kushiriki kutengeneza sheria.. YAANI MAKAMANDA NAONA KAMA VILE AKILI ZIMETURUKA.
Hao 15 milioni hawawezi kuzuia uchaguzi usifanyike?
 
Back
Top Bottom