No reforms No election kuigawa na kuisambaratisha CHADEMA kuelekea Uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Makada wake maeneo mbalimbali nchini wamegawanyika,
wapo waoendelea kujipanga na kutangaza nia za kugombea urasi, ubunge na udiwani,

huku wengine wakiwa na msimamo sawa na ule wa mwenyekiti wa chama hicho Taifa na katibu mkuu wake, ambao mara kwa mara wamekua wakidai kutoshiriki uchaguz mkuu huo muhimu na wa kihistoria Tanzania.

Je,
kuna kutokuelewana au kutokuheshimiana ndani ya chadema?

Unadhani nini kitatokea wakati wa uteuzi ndani ya chadema kuelekea uchaguz wenyewe October 2025? Au hapatakua na mchakato wa uteuzi ndani ya chama hicho?

elezea hali hii ndani ya chadema kwa usahihi kwa faida ya wadau 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Tulishakuzoea ujapiga hata mswaki asubuhi unawaza kunya mapema.
IMG_0889.jpeg
 
Makada wake maeneo mbalimbali nchini wamegawanyika,
wapo waoendelea kujipanga na kutangaza nia za kugombea urasi, ubunge na udiwani,

huku wengine wakiwa na msimamo sawa na ule wa mwenyekiti wa chama hicho Taifa na katibu mkuu wake, ambao mara kwa mara wamekua wakidai kutoshiriki uchaguz mkuu huo muhimu na wa kihistoria Tanzania.

Je,
kuna kutokuelewana au kutokuheshimiana ndani ya chadema?

Unadhani nini kitatokea wakati wa uteuzi ndani ya chadema kuelekea uchaguz wenyewe October 2025? Au hapatakua na mchakato wa uteuzi ndani ya chama hicho?

elezea hali hii ndani ya chadema kwa usahihi kwa faida ya wadau 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Naona haujawaelewa CHADEMA wewe! CHADEMA hawasemi watasusia uchaguzi, bali wanasema WATAZUIA uchaguzi kufanyika.

Sasa cha msingi ku-dwell mimi na wewe ni kuvuta subira kujua jinsi watavyozui uchaguzi kufanyika.
 
No Reform No Election inavyowasambaratisha mafisadi ndani ya CCM! 💪💪💪
 
gentleman,
inakuaje no reform no elections halafu waerevu ndani ya chama wanatangaza nia za kugombea urais, udiwani na ubunge?

unaweza kuwaelezea wadau ni muujiza gani uko katika hili?

huo ni mgawanyiko au muunganiko ndani ya chadema?:pulpTRAVOLTA:
 
Naona haujawaelewa CHADEMA wewe! CHADEMA hawasemi watasusia uchaguzi, bali wanasema WATAZUIA uchaguzi kufanyika.

Sasa cha msingi ku-dwell mimi na wewe ni kuvuta subira kujua jinsi watavyozui uchaguzi kufanyika.
gentleman,
ambae hajaielewa chadema ni nani kati ya anaedai kutakuwepo na no reform no elections kuelekea uchaguzi mkuu na yule anaetangaza kwamba kwa vyovyote vile atagombea urais, ubunge au udiwani kupitia chadema?

unaweza kuwaeleza wadau ni muujiza gani unatendeka ndani ya chadema katika hili kuelekea uchaguzi mkuu, ndugu muerevu? :pulpTRAVOLTA:
 
Mkuu hiyo ni Chademaphobia.
Chadema inaitesa mno CCM kisaikolojia.
No reform no election ndiyo inazidisha maumivu kwenye vidonda vya CCM.
Kama Magufuri alishindwa kuifuta Chadema sidhani kama kuna namna nyingine ya kuiua Chadema.
 
huna haja ya kubabaika na kumbwelambwela kwa kuzunguuuka,

hebu waelezee wadau,
kulikoni chairman wa Taifa wa chadema atangaze no reform no elections, halafu wajitokeze watu ndani ya chama hicho hicho kutangaza kugombea udiwani, ubunge na urais?

huo ndio muujiza wadu wangependa kujua na kupewa ufafanuzi :pulpTRAVOLTA:
 
Hao wanaotangaza kugombea watapitishwa na vikao vipi vya CHADEMA?
Fom zao zitasainiwa na nani kabla ya kupelekwa Tume au kwa Msimamizi wa jimbo la uchaguzi husika?
Au kitakachofanyika ni tiayies kusaini fom kwa kugushi sain ya John kama ilivyofanyika kwa wale covid 19?
 
gentleman,
inakuaje no reform no elections halafu waerevu ndani ya chama wanatangaza nia za kugombea urais, udiwani na ubunge?

unaweza kuwaelezea wadau ni muujiza gani uko katika hili?

huo ni mgawanyiko au muunganiko ndani ya chadema?:pulpTRAVOLTA:
Utasubiri sana mgawanyiko!
 
narudia tena,
mbona weo ndugu kasongo na huna pointi? si afadhalli ulale tu kuliko kujiexpose ulivyo na mihemko isiyo na maana yoyote aise 🐒
Ila mapema yote hiyo ushaiwaza Chadema! Au unafanya kazi Chadema?
 
hapana gentleman,
nafanya utafiti tu wa kisayansi katika siasa miongoni mwa vyama vya siasa nchini hususan chadema :pedroP:
 
Utasubiri sana mgawanyiko!
Gentleman,
hebu waelezee wadua basi kisayansi waelewe ni nini kipo ndani ya chadema, kwamba wengine wahubiri no reform no elections, huku wengine wakijipanga na kutangaza nia za kugombe ubunge, urais n.k kupitia chadema?

eleza kiufupi tu bila kuhitimisha kwa ujumla kwa mihemko :pulpTRAVOLTA:
 
Back
Top Bottom